Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
- Thread starter
-
- #41
Kuna haja ya kuitazama wizara ya fedha kwa jicho la utofauti.Kingine Rais mwenyewe ni tatizo, hatoki kama kiongozi kutoa kauli.........hii inaonesha nchi inajiendea tu ndio maana wawekezaji na wafanyabiashara wana lalamika. Huyu mama ni lazima ajitafakari.
Hazitawasaidia wakati January Makamba katangaza rasmi atakutana na mabalozi kujadili hilo suala. Acha uchawa dogo.Duh
Hao wawekezaji waende Kituo cha Uwekezaji wakalalamike kwa Sababu Balozi zao hazitawasaidia lolote
Hata Sep Blatter alikuwa akitumia janja ya FIFA kutoingiliwa na serikali ila alipovuka mstari wamarekani wakamng'oa kifitina. Hao mabalozi kisheria hawana nguvu ila nyuma ya pazia ni hatari ya kifo.Duh
Hao wawekezaji waende Kituo cha Uwekezaji wakalalamike kwa Sababu Balozi zao hazitawasaidia lolote
Haya ndio madhara ya kuwa na Wabunge wa hovyo kama kina Msukuma na Lusinde. Halafu na Bunge la Chama kimoja ni kirusi hicho.Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Mwigulu anafahamu hilo?Kwa unyenyekevu tumekuwa tukishauri..
Fuatilieni shauri zetu tulio wadogo na tusiostahiri..
Pamoja na rushwa kukithiri Kwa maofisa wengi wa TRA.. Tatizo sio watu..CG..Ni Mfumo/sheria/Kanuni..
I think we have one of the best Commissioner General..
Tufumue sheria Za kodi,Mamlaka iboreshwe..
Mama wizara ya fedha na TRA tunahitaji MKEKA MPYA. Watu wengi wamefunga biashara zao kwasababu kodi kandamizi na mega corruption[ufisadi mkubwa] katika process nzima ya kukusanya kodi. TRA inahitaji kuwa na mfumo mpya wa kidititali wa kukadiria kodi.Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Hata akitoka haitaondoa tatizo lililopoSema ukifatilia na kusoma haya mambo kwa makini kuanzia mgomo n.k kuna mtu / watu wapo kwenye mission kuhakikisha Kidata anatoka kwenye nafasi yake, mengine unaona ni roho mbaya tu kwa jamaa.
Mama ameingia na philosophy ya 4Rs.Mama wizara ya fedha na TRA tunahitaji MKEKA MPYA. Watu wengi wamefunga biashara zao kwasababu kodi kandamizi na mega corruption[ufisadi mkubwa] katika process nzima ya kukusanya kodi. TRA inahitaji kuwa na mfumo mpya wa kidititali wa kukadiria kodi.
Mtu anaye kaa nyumbani na kusubiri misaada hana tofauti na changudoa.
Mungu wabariki Wazungu
Hizi ni pesa, mkileta siasa zenu za ccm wanaondoka halafu mbaki mnauziana kahawa na kashata.Hao mabalozi wanapata wapi mamlaka ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi?
Halafu haijulikani pesa zinaenda wapi?Wawekezaji, na sio wazungu tu.
Makodi ni mengi mno, watashindwaje kuondoka na kukimbilia kwenye nchi rafiki wa kodi! Hii nchi basi tu, tusije tukapangiwa kula mlo mmoja
Nchi hii serikali inaweza kukusnya pesa nyingi bila TRA .TRA ndo kkwazo namba mbojaKana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.
Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.
Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
NB
Nimepata hii barua inbox
Rais anyeongeza ukubwa wa serikali kila siku badlands ya kupunguza kodi hazitaka zitosheHawa ndio watanzania sisi tunadhani kila mtu ni wa kuburuzwa tu na unaweza jitungia story kama hii.
Hao watu wana qualified accountants ata ukitaka computation za haraka za kodi mbali ukifanya Google search majibu utapewa na big four accounting firms.
Maana yake nini wana wataalamu wa kutafsiri what the law implies na wanajua kuandaa vitabu vyao.
Mtu anaejua kuandaa vitabu vyake kwa mujibu wa sheria uwezi mkadiria kodi, kwanza wawekezaji au biashara kubwa azidiriwi kodi baada ya mwaka wa kwanza.
Huu ni upotoshaji wa kitoto na ndio mambo anayotakiwa huyo ‘bi-tozo’ aache kuingilia kazi za watu; tamaa zake za uraisi isiwe sababu ya kuaribu nchi.
Mtu hajui chochote na hataki kujifunza lolote malalamiko kidogo kwenye jamii, kwa uoga na tamaa zake za uongozi yupo tayari kulea upuuzi na kulaumu watu wanaofanya kazi.
Hakuna taasisi ya usalama makini ingeweza mpa nchi huyo mama kwa changamoto za Tanzania. Raisi hana uwezo, mawaziri hawana uwezo, washauri wa raisi hawana uwezo, makatibu wakuu hawana uwezo.
Hatupo kwenye orodha ya nchi maskini kwa bahati, tupo hapo ni kwa sababu huko juu tumejaza watu ambao hawana uwezo. Wote wanasiasa na washauri wao.
Serikal hii haijawahi kuwa seriously kil jambo huwa wwnaamin litapita kumbuka watu wamebadilika nguja tunakaribia kuwa kama kenyaKuto zitatua changamoto Kwa wakati ni tatizo pia, Ndiyo chanzo cha yasiyoyatarajiwa,(uncertainty)
Not sure what you meant by ‘badlands’ sometimes ‘auto filling’ distort the meaning of posts check what you actually meant to say.Rais anyeongeza ukubwa wa serikali kila siku badlands ya kupunguza kodi hazitaka zitoshe
Kituo kitaandaa vikao vya kulipana posho na safari za DubaiKituo kitafanya nini labda?