Hawa ndio watanzania sisi tunadhani kila mtu ni wa kuburuzwa tu na unaweza jitungia story kama hii.
Hao watu wana qualified accountants ata ukitaka computation za haraka za kodi mbali ukifanya Google search majibu utapewa na big four accounting firms.
Maana yake nini wana wataalamu wa kutafsiri what the law implies na wanajua kuandaa vitabu vyao.
Mtu anaejua kuandaa vitabu vyake kwa mujibu wa sheria uwezi mkadiria kodi, kwanza wawekezaji au biashara kubwa azidiriwi kodi baada ya mwaka wa kwanza.
Huu ni upotoshaji wa kitoto na ndio mambo anayotakiwa huyo ‘bi-tozo’ aache kuingilia kazi za watu; tamaa zake za uraisi isiwe sababu ya kuaribu nchi.
Mtu hajui chochote na hataki kujifunza lolote malalamiko kidogo kwenye jamii, kwa uoga na tamaa zake za uongozi yupo tayari kulea upuuzi na kulaumu watu wanaofanya kazi.
Hakuna taasisi ya usalama makini ingeweza mpa nchi huyo mama kwa changamoto za Tanzania. Raisi hana uwezo, mawaziri hawana uwezo, washauri wa raisi hawana uwezo, makatibu wakuu hawana uwezo.
Hatupo kwenye orodha ya nchi maskini kwa bahati, tupo hapo ni kwa sababu huko juu tumejaza watu ambao hawana uwezo. Wote wanasiasa na washauri wao.