Tetesi: Balozi za nchi zenye uwekezaji mkubwa nchini zatishia kusimamisha miradi, inadaiwa TRA inawabambikia kodi kubwa zisizolipika

Kingine Rais mwenyewe ni tatizo, hatoki kama kiongozi kutoa kauli.........hii inaonesha nchi inajiendea tu ndio maana wawekezaji na wafanyabiashara wana lalamika. Huyu mama ni lazima ajitafakari.
Kuna haja ya kuitazama wizara ya fedha kwa jicho la utofauti.
 
Kwa unyenyekevu tumekuwa tukishauri..
Fuatilieni shauri zetu tulio wadogo na tusiostahiri..

Pamoja na rushwa kukithiri Kwa maofisa wengi wa TRA.. Tatizo sio watu..CG..Ni Mfumo/sheria/Kanuni..

I think we have one of the best Commissioner General..

Tufumue sheria Za kodi,Mamlaka iboreshwe..
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Haya ndio madhara ya kuwa na Wabunge wa hovyo kama kina Msukuma na Lusinde. Halafu na Bunge la Chama kimoja ni kirusi hicho.
 
Kwa unyenyekevu tumekuwa tukishauri..
Fuatilieni shauri zetu tulio wadogo na tusiostahiri..

Pamoja na rushwa kukithiri Kwa maofisa wengi wa TRA.. Tatizo sio watu..CG..Ni Mfumo/sheria/Kanuni..

I think we have one of the best Commissioner General..

Tufumue sheria Za kodi,Mamlaka iboreshwe..
Mwigulu anafahamu hilo?
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.
Mama wizara ya fedha na TRA tunahitaji MKEKA MPYA. Watu wengi wamefunga biashara zao kwasababu kodi kandamizi na mega corruption[ufisadi mkubwa] katika process nzima ya kukusanya kodi. TRA inahitaji kuwa na mfumo mpya wa kidititali wa kukadiria kodi.
 
Mama ameingia na philosophy ya 4Rs.
Kitu ambacho hajui ni kwamba Wizsra ya Fedha na TRA si kwamba hawaelewi 4Rs , hao watu Wizara ya Fedha na TRA wanafaidika moja kwa moja na ubabe wanaoufanya.
Mtu anabambikwa kodi ya juu na mbambikiwa inabidi " kuongea" vizuri na kuwaachia kitita kizito.
Tembelea Tegeta A, Mivumoni na Goba mjionee!
 
Hawa ndio watanzania sisi tunadhani kila mtu ni wa kuburuzwa tu na unaweza jitungia story kama hii.

Hao watu wana qualified accountants ata ukitaka computation za haraka za kodi mbali ukifanya Google search majibu utapewa na big four accounting firms.

Maana yake nini wana wataalamu wa kutafsiri what the law implies na wanajua kuandaa vitabu vyao.

Mtu anaejua kuandaa vitabu vyake kwa mujibu wa sheria uwezi mkadiria kodi, kwanza wawekezaji au biashara kubwa azidiriwi kodi baada ya mwaka wa kwanza.

Huu ni upotoshaji wa kitoto na ndio mambo anayotakiwa huyo ‘bi-tozo’ aache kuingilia kazi za watu; tamaa zake za uraisi isiwe sababu ya kuaribu nchi.

Mtu hajui chochote na hataki kujifunza lolote malalamiko kidogo kwenye jamii, kwa uoga na tamaa zake za uongozi yupo tayari kulea upuuzi na kulaumu watu wanaofanya kazi.

Hakuna taasisi ya usalama makini ingeweza mpa nchi huyo mama kwa changamoto za Tanzania. Raisi hana uwezo, mawaziri hawana uwezo, washauri wa raisi hawana uwezo, makatibu wakuu hawana uwezo.

Hatupo kwenye orodha ya nchi maskini kwa bahati, tupo hapo ni kwa sababu huko juu tumejaza watu ambao hawana uwezo. Wote wanasiasa na washauri wao.
 
Kana kwamba sakata la wafanyabiashara wa Kariakoo halijatosha, nimepata tetesi kuwa sasa waekezaji wakubwa wamezilalamikia Balozi zao kuwa TRA inawabambika kodi zisizolipika na wengi wametishia kuondoa uwekezaji wao.

Huu inaelekea ni mwendelezo wa malalamiko ya wafanyabiashara wa Kariakoo, na sababu zilizopelekea kufunga maduka ni hizo hizo.

Inaelekea Mama Samia mno amewaachia Wizara ya Fedha na TRA na wo wanafanya madudu wapendavyo.
Sehemu hii Mama tunahitaji mkeka mpya.

NB
Nimepata hii barua inbox
Nchi hii serikali inaweza kukusnya pesa nyingi bila TRA .TRA ndo kkwazo namba mboja
 
Hawa ndio watanzania sisi tunadhani kila mtu ni wa kuburuzwa tu na unaweza jitungia story kama hii.

Hao watu wana qualified accountants ata ukitaka computation za haraka za kodi mbali ukifanya Google search majibu utapewa na big four accounting firms.

Maana yake nini wana wataalamu wa kutafsiri what the law implies na wanajua kuandaa vitabu vyao.

Mtu anaejua kuandaa vitabu vyake kwa mujibu wa sheria uwezi mkadiria kodi, kwanza wawekezaji au biashara kubwa azidiriwi kodi baada ya mwaka wa kwanza.

Huu ni upotoshaji wa kitoto na ndio mambo anayotakiwa huyo ‘bi-tozo’ aache kuingilia kazi za watu; tamaa zake za uraisi isiwe sababu ya kuaribu nchi.

Mtu hajui chochote na hataki kujifunza lolote malalamiko kidogo kwenye jamii, kwa uoga na tamaa zake za uongozi yupo tayari kulea upuuzi na kulaumu watu wanaofanya kazi.

Hakuna taasisi ya usalama makini ingeweza mpa nchi huyo mama kwa changamoto za Tanzania. Raisi hana uwezo, mawaziri hawana uwezo, washauri wa raisi hawana uwezo, makatibu wakuu hawana uwezo.

Hatupo kwenye orodha ya nchi maskini kwa bahati, tupo hapo ni kwa sababu huko juu tumejaza watu ambao hawana uwezo. Wote wanasiasa na washauri wao.
Rais anyeongeza ukubwa wa serikali kila siku badlands ya kupunguza kodi hazitaka zitoshe
 
Not sure what you meant by ‘badlands’ sometimes ‘auto filling’ distort the meaning of posts check what you actually meant to say.

Anyway from what I gather Tanzania kwenye kodi atuko extreme kama standard ratę ya VAT ya 18% hiyo ni same rate ya Uganda, Rwanda, Burundi na Congo, Mozambique.

Kenya, Malawi na Zambia ndio 16%, kwa Africa nzima wengi wapo juu ya 18% kuliko walio chini.

Kwenye income tax kwa wawekezaji wa nje kodi ni (15%) wazawa ndio 30%, that’s a steal kwao; ningekuwa waziri wa fedha ninge change kesho; mind you these people get 100% capital allowances in some instances.

Just get the people to serious people to manage serious posts so that they can argue government position; sio kusikiliza watu kama Mwigulu, Mkumbo na Mchechu.

My god our standards are so low hawa watu hata sijui uwa wanaongea mambo gani ya uchumi na wazungu; hawana uwezo kabisa.
 
Back
Top Bottom