balozi zetu zijitafakari kwa raia wake waliopo nje

balozi zetu zijitafakari kwa raia wake waliopo nje

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
hizi balozi za asante au kukomoana hapa nchi zinazopeleka watumishi kiukweli ni aibu na hakuna msaada wowote wa faida yoyote cha kutuletea wala kutusaidia.
ukipata matatizo pambana nayo wewe mwenyewe sio kama balozi zengine zikifatilia raia wake hata kama kalewa bichi kidumbwi.
jambo linaloshangaza hata usalama wake wapo wapo kama kutatokea lolote kwenye nchi kuanzia uchumi,biashara na vita.
wapo wapo tu
 
Wengi Ubalozi wameupata kwa uchawa kwaio weledi wa kuendesha balozi zenyewe hawana.
 
Wengi Ubalozi wameupata kwa uchawa kwaio weledi wa kuendesha balozi zenyewe hawana.
Kikwete amewajaza Chawa wake kwenye balozi zetu toka Washington mpaka south Korea ili iwe rahisi kufanikisha ufisadi wa genge lake!! Mama Abdul yupo yupo tu hajui kinachoendelea!! TISS wanatakiwa watimize wajibu wao ama sivyo nchi itazama.
 
Kiwete amewajaza Chawa wake kwenye balozi zetu toka Washington mpaka south Korea ili iwe rahisi kufanikisha ufisadi wa genge lake!! Mama Abdul yupo yupo tu hajui kinachoendelea!! TISS wanatakiwa watimize wajibu wao ama sivyo nchi itazama.
Tiss ipo kwa ajili ya chama na si taifa. Ingekuwepo kwa ajili ya taifa hakika taifa lisingefikia hatua hii.
 
Back
Top Bottom