Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
hizi balozi za asante au kukomoana hapa nchi zinazopeleka watumishi kiukweli ni aibu na hakuna msaada wowote wa faida yoyote cha kutuletea wala kutusaidia.
ukipata matatizo pambana nayo wewe mwenyewe sio kama balozi zengine zikifatilia raia wake hata kama kalewa bichi kidumbwi.
jambo linaloshangaza hata usalama wake wapo wapo kama kutatokea lolote kwenye nchi kuanzia uchumi,biashara na vita.
wapo wapo tu