Ban on gatherings, bars extended for 30 days as Kenya’s COVID-19 cases hit 2,600

Inaitwa curfew sio lockdown. Kituko ni wewe na uelewa wako finyu. Virusi vya Corona huwa vinasambaa kupitia 'human-human contact' yaani lazima binadamu ahusike, sio kama sisimizi au umande, acha ushamba. Kinachozuiwa ni watu kutumia mwanya wa giza kukiuka maagizo ya wataalamu. Hizi ndio nchi ambazo zina curfew pia, nchi kama Saudia, Argentina, Algeria n.k. kuna hadi nchi ambazo zina curfew ya saa saba usiku hadi saa kumi, masaa matatu tu. Countries with coronavirus curfews: Saudi Arabia joins growing list
"vinasambaa kupitia 'human-human contact......."

Kwa hiyo kuanzia saa 10 alfajiri mpaka saa 3usiku kunakuwa hakuna human contact.........😀😀😀😀😀😀😀
 
Huu ni wakati mwafaka kwa Tz kuipiku Kenya Kiuchumi...Hamko lockdown mnachapa kazi usiku na mchana "hapa kazi tu"
kama mmetuzidi lakini njaa na corona zinawafirigisa namna hii,wacha tuendelee kukaa nyuma[emoji38][emoji38].

nyinyi ni wakufirigiswa hata mkimaliza corona mtaikuta njaa ikiwasubiri hapo nje.
 
Inaitwa curfew sio lockdown. Kituko ni wewe na uelewa wako finyu. Virusi vya Corona huwa vinasambaa kupitia 'human-human contact' yaani lazima binadamu ahusike, sio kama sisimizi au umande, acha ushamba. Kinachozuiwa ni watu kutumia mwanya wa giza kukiuka maagizo ya wataalamu. Hizi ndio nchi ambazo zina curfew pia, nchi kama Saudia, Argentina, Algeria n.k. kuna hadi nchi ambazo zina curfew ya saa saba usiku hadi saa kumi, masaa matatu tu. Countries with coronavirus curfews: Saudi Arabia joins growing list
Wewe nawe kichwaboga,
Ina maana Kenya mnaiga na kufanya kama nchi nyingine au mnafanya baada ya kufanya utafiti na kutegemea matokeo?!

Huku kuiga iga kutawatokea puani
 
Yani mchana ruksa kuchanganyana ila usiku tu ambao watu huenda makwao kulala ndio......
Kweli Uhuru kawashika
 
Hebu soma tena kichwa cha uzi huu au utafute tafsiri kwanza kisha urejee upya.
"vinasambaa kupitia 'human-human contact......."
Kwa hiyo kuanzia saa 10 alfajiri mpaka saa 3usiku kunakuwa hakuna human contact........
Hakuna 'social gatherings' zozote za kisiri usiku, ambazo bado zimepigwa marufuku, iwe kwenye bar au kanisani na misikitini. Wewe ndio umesema kwamba virusi vya COVID-19 vina'zulula' mchana. Hivi itabidi nikuchoree kibonzo ili uelewe?
 
Hebu soma tena kichwa cha uzi huu au utafute tafsiri kwanza kisha urejee upya. Hakuna 'social gatherings' zozote za kisiri usiku, ambazo bado zimepigwa marufuku, iwe kwenye bar au kanisani na misikitini. Hivi itabidi nikuchoree kibonzo ili uelewe?
Tafsiri ipi kwani ni uongo,mmeongeza lockdown kwa siku 30,huku lockdown ikianza saa 3usiku mpaka 10alfajiri.

Vipi masokoni,vituo vya mabasi,kwenye foleni za kuchukulia chakula huko napo mnakaaje.Nyie endeleeni kuchota maji na chujio sababu ndio maisha mlio ya chagua.
 
Wewe nawe kichwaboga,
Ina maana Kenya mnaiga na kufanya kama nchi nyingine au mnafanya baada ya kufanya utafiti na kutegemea matokeo?!

Huku kuiga iga kutawatokea puani
Curfew za Saudia, Bahrain na Argentina zilianza wiki moja iliyopita, wao ndio walituiga. [emoji1]
 
Tafsiri ipi kwani ni uongo,mmeongeza lockdown kwa siku 30,huku lockdown ikianza saa 3usiku mpaka 10alfajiri.

Vipi masokoni,vituo vya mabasi,kwenye foleni za kuchukulia chakula huko napo mnakaaje.Nyie endeleeni kuchota maji na chujio sababu ndio maisha mlio ya chagua.
Haya basi, nimekuelewa.
 
"vinasambaa kupitia 'human-human contact......."

Kwa hiyo kuanzia saa 10 alfajiri mpaka saa 3usiku kunakuwa hakuna human contact.........[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Uelewa wako mdogo sana, unafikiria hku mchana watu hawana kazi za kufanya km hko..
Mapozi ya kukaa vibarazani labda hko kwenu..
 
kama mmetuzidi lakini njaa na corona zinawafirigisa namna hii,wacha tuendelee kukaa nyuma[emoji38][emoji38].

nyinyi ni wakufirigiswa hata mkimaliza corona mtaikuta njaa ikiwasubiri hapo nje.
Tanzania wanatupita soon, manake mwaka huu tangia uanze wanachapa kazi tu
 
Yani mchana ruksa kuchanganyana ila usiku tu ambao watu huenda makwao kulala ndio......
Kweli Uhuru kawashika
Akili za kibongo hzo[emoji1787][emoji1787]ushazoea kuamka na kwenda maskani na kumalizia siku yako hko km kawaida yako
 
Rudi shule ukachukue hela zako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Uache kutaja maneno usiyoyaelewa, utaumbuka bure
Basi Rais wako hatakuwa hajielewi manake yy ndiye aliyetangaza lockdown,basi wewe na rais wako wote wasanii.
 
Back
Top Bottom