komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Km ulisikiza basi mbona hukuelewa, maskini 7,4,2,3Basi Rais wako hatakuwa hajielewi manake yy ndiye aliyetangaza lockdown,basi wewe na rais wako wote wasanii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Km ulisikiza basi mbona hukuelewa, maskini 7,4,2,3Basi Rais wako hatakuwa hajielewi manake yy ndiye aliyetangaza lockdown,basi wewe na rais wako wote wasanii.
Kwa hiyo Lockdown hamna Tajiri Mrembo bali usanii?Km ulisikiza basi mbona hukuelewa, maskini 7,4,2,3
Tena unacheka baada ya kuandika vitu usivyovifahamu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Lockdown hamna Tajiri Mrembo bali usanii?
[emoji23][emoji23]
Mimi mfumo siujui nachojua alicho tueleza rais wako kupitia maexpert wake kwamba saa 3 usiku mpaka saa 10alfajiri corona virus ndio wanashambulia ila baada mida hiyo huwa wanalala.Tena unacheka baada ya kuandika vitu usivyovifahamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini 7,4,2,3..
Yani hta mfumo wenu wa elimu huujui[emoji23][emoji23][emoji23]wacha nikusaidie...
Angalia juu[emoji115][emoji115]
Siwezi kulaumu ni mfumo wenu wa elimu..
Elimu ya part one na part two only in tanzania[emoji23][emoji23]
Kilazaaaa[emoji23][emoji23]Mimi mfumo siujui nachojua alicho tueleza rais wako kupitia maexpert wake kwamba saa 3 usiku mpaka saa 10alfajiri corona virus ndio wanashambulia ila baada mida hiyo huwa wanalala.
Kwa style hii kweli naamini nyie Kenya kiboko kwani mna mfumo mzuri wa elimu kuliko inchi zote EA.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli Kabisa hata mimi mwenyewe naona siwezi kukuelewa, ila hiyo lockdown ya saa 3usiku mpaka saa 10alfajiri Uhuru na Maexperts wenu walitisha,manake inaoneka wanajua mpaka ratiba za siku za Corona virus.Kilazaaaa[emoji23][emoji23]
Utaelewaje statement za watu km uhuru wakati we mwnywe ulipitia mfumo wa part one na part two shule[emoji23][emoji23]
Acha tu, hawa ni wale ambao walienda shuleni kuvunja madirisha na kuiba miwa.Km ungelimskiza rais uhuru kenyatta wala usingelikua hapa.
Watu wa vijiweni wanatabu sana..
Km mtu kasoma miaka saba kw kiswahili halafu mbele mbele anajeuziwa gear hewani na kuanza kukariri Kingereza.
Matokea yake, vilaza.
Kilaza wa kwaida siwezi bishana naye, endelea kuongelea terms usizozijuaKweli Kabisa hata mimi mwenyewe naona siwezi kukuelewa, ila hiyo lockdown ya saa 3usiku mpaka saa 10alfajiri Uhuru na Maexperts wenu walitisha,manake inaoneka wanajua mpaka ratiba za siku za Corona virus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maigizo sijui yataisha lini
Hii ni comedy kabisa yani daahh. Kweli mfumo wenu kiboko,sisi hatu ukaribii hata kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila angalieni mwisho wa siku mnaweza mkajikuta mnahesabu makuti baada ya kuhesabu nazi.
Nimeamua kumuachia ulimwengu[emoji23][emoji23]Acha tu, hawa ni wale ambao walienda shuleni kuvunja madirisha na kuiba miwa.
Algeria "wametuiga pia"[emoji23][emoji23]endelea kunengua tu ndio wajua we kada wa CCMKweli Kabisa hata mimi mwenyewe naona siwezi kukuelewa, ila hiyo lockdown ya saa 3usiku mpaka saa 10alfajiri Uhuru na Maexperts wenu walitisha,manake inaoneka wanajua mpaka ratiba za siku za Corona virus.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya maigizo sijui yataisha lini
Hii ni comedy kabisa yani daahh. Kweli mfumo wenu kiboko,sisi hatu ukaribii hata kidogo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila angalieni mwisho wa siku mnaweza mkajikuta mnahesabu makuti baada ya kuhesabu nazi.
Kuwapiku mara ngapi sasa!!..kenya hakuna uchumi wa kutusumbua labda gdpHuu ni wakati mwafaka kwa Tz kuipiku Kenya Kiuchumi...Hamko lockdown mnachapa kazi usiku na mchana "hapa kazi tu"
I can't waste my time to respect a foolRespecting our president won't cost u much, nothing
Algeria wamewaiga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Algeria "wametuiga pia"[emoji23][emoji23]endelea kunengua tu ndio wajua we kada wa ccm
Sawa expert 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kilaza wa kwaida siwezi bishana naye, endelea kuongelea terms usizozijua
Ndio wakati wenu wa kuipiku hio GDP ya makaratasi.Kuwapiku mara ngapi sasa!!..kenya hakuna uchumi wa kutusumbua labda gdp
Kabla ya kucheka uwe unapiga mswaki wakenya kwa uchafu !!! Slum mentalityAkili za kibongo hzo[emoji1787][emoji1787]ushazoea kuamka na kwenda maskani na kumalizia siku yako hko km kawaida yako
Sasa ni muda gani huwa na misongamano ya watu masokoni, viwandani, stands, etc kati ya mchana na huo muda wenu wa curfew?Inaitwa curfew sio lockdown. Kituko ni wewe na uelewa wako finyu. Virusi vya Corona huwa vinasambaa kupitia 'human-human contact' yaani lazima binadamu ahusike, sio kama sisimizi au umande, acha ushamba. Kinachozuiwa ni watu kutumia mwanya wa giza kukiuka maagizo ya wataalamu. Hizi ndio nchi ambazo zina curfew pia, nchi kama Saudia, Argentina, Algeria n.k. kuna hadi nchi ambazo zina curfew ya saa saba usiku hadi saa kumi, masaa matatu tu. Countries with coronavirus curfews: Saudi Arabia joins growing list
Akitoka hapo ni teenager expert mwenye miaka 24Tena unacheka baada ya kuandika vitu usivyovifahamu[emoji23][emoji23][emoji23]
Maskini 7,4,2,3..
Yani hta mfumo wenu wa elimu huujui[emoji23][emoji23][emoji23]wacha nikusaidie...
Angalia juu[emoji115][emoji115]
Siwezi kulaumu ni mfumo wenu wa elimu..
Elimu ya part one na part two only in tanzania[emoji23][emoji23]