Ban on gatherings, bars extended for 30 days as Kenya’s COVID-19 cases hit 2,600

Haya maambukizi ya nataka usiku tu, ndo maana mkaweka curfew? Vipi mchana hakuna human to human contacts?
 
Akili za kibongo hzo[emoji1787][emoji1787]ushazoea kuamka na kwenda maskani na kumalizia siku yako hko km kawaida yako
Alafu nilishakwambia nataka nikuoe, sawa?
 
Sasa ni muda gani huwa na misongamano ya watu masokoni, viwandani, stands, etc kati ya mchana na huo muda wenu wa curfew?

Mnasikitisha
Kwhyo hyo misongamano ndio ile uliysoikia sio ya kilazima sio..
Na unapolazimika kwenda katika hyo mikusanyiko unashauriwa uvae barakoa..thats y jamaa wameweka curfew kuepusha mikusanyiko isiyokua ya kilazima.
Alafu mbona unalazimisha km corona ipo wakati bongo imeshapotea kitambo
 
mganga mkuu Tanzania amenena....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…