Bananga: Mikono ya Rais Samia iko wazi kwa maridhiano, ni wakati wa kuiponya nchi

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

​
🤣
 
Huu ujinga wa maridhiano ndio Maalim Seif alikuwa anafanyiwa, kisha ikifika uchaguzi anaporwa halafu anaitwa kuridhiana kwa damu za wazenji halafu anapewa cheo kodicho na meno. Cdm wasikubali huu upuuzi bila uwajibikaji.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Sidhani kama hatua za kufikia kwenye maridhiano ya uponyaji wa taifa letu zinaweza kuanza wakati kiongozi Mkuu wa chama kikuu cha upinzani akiwa rumande.

Amandla...
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Mtu anayekubalika kwa 98% ya wapiga kura anahitaji kufanya maridhiano ya kitu gani?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Huu upuuzi wote wa ccm kuchezea chaguzi ni sababu ya siasa za kidalali za kina Mbowe. Saa hii Mbowe anajenga malodge huko kwenye mbuga za kitalii kutokana na hizi hela alizokuwa anachezea watu akili. Hao akina Bananga wote waliingia kwenye siasa kwa ajili ya maslahi, ndio maana ni wapiga debe wa hizi siasa za maradhiano ya kipuuzi.
Fundi Mchundo
 
Back
Top Bottom