Bananga: Mikono ya Rais Samia iko wazi kwa maridhiano, ni wakati wa kuiponya nchi

Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Hatutaki maridhiano baada ya Mauaji na uchaguzi.
 
Maridhiano ya nini? Na nani? Kwa ajili ya nini? Kivipi?
 
Anataka kuridhiana kuhusu nini
 
Mnasubiri muda wa mariadhiano ambao utapangwa na nani? Mnaridhiana kuhusu nini na mnariadhana na nani? Vyama vilishiriki uchaguzi na vikakubali matokeo sasa tatizo ni nini? Literally vyama vilivyoshiriki na kukubali matokeo kwao mambo yako sawa sasa hapo maridhiano ni ya nini tena? Hebu nyoosheni maelezo.
 
Maswali makini, ikiwa Vyama vilivyoshiriki wakiwemo chauma na Yericko wamekubali uchaguzi ulikuwa huru na haki wanaridhiana ili iwe nini?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Kabla 29/10/26 mikono hiyo haikuwa wazi ??
 
Back
Top Bottom