Bananga: Mikono ya Rais Samia iko wazi kwa maridhiano, ni wakati wa kuiponya nchi

Katika historia ya Marekani, ushindi wa juu kabisa katika uchaguzi wa Rais ni 61.05% ambao aliupata Lyndon B. Johnson mwaka 1964. Wengine wote wamepata chini ya hapo, lakini hakuna ambaye amewahi kutaka kufanya maridhiano yoyote!
Hahaha
 
CCM sasa wanakubali taifa haliko pamoja, nani aliyeligawanya hilo taifa? Aliligawa kwa maslahi yapi?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Maridhiano yenyewe ni magumu....
 
Banan

Bwana Bananga ana Bananga Sasa mtu aliyeuwa watu anaridhiana na nani?
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Huyu nae kwani yeye amekuwa Msigwa, si aje muhusika mwenyewe ndie atamke kwa kinywa chake? hawa chawa ndio wanamsemea raisi kwa ruhusa ya nani.
 
Maridhiano bila Tundu lisu? Thubutu nyaronyo kichere. ( Mwana halisi), 2026
 
Mikono yake Inanuka Damu.
Ameingia Madarakani kwa Kuua Vijana wa Tanzania

Anakula Mshahara wa Samu na Mauaji

AKAFANYE MARISHIANO NA VIJANA WALIOTANGULIA MBELE ZA HAKI OCTOBER 29.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Kwani kitu gani kinazuia maridhiano hayo kufanyika?Kila siku manenoo ni hayohayo tu!?Ridhianeni!
 
Mnasubiri muda wa mariadhiano ambao utapangwa na nani? Mnaridhiana kuhusu nini na mnariadhana na nani? Vyama vilishiriki uchaguzi na vikakubali matokeo sasa tatizo ni nini? Literally vyama vilivyoshiriki na kukubali matokeo kwao mambo yako sawa sasa hapo maridhiano ni ya nini tena? Hebu nyoosheni maelezo.
Hapo tu ndiyo utabaini akili za akina Bananga na hao CCM wote ni majingamajinga.Wakanushe kwanza kuhusu uchafuzi wote wa 29 Oktoba 2025 ndiyo waanzishe hilo shauri la kuridhiana.
 
Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa.

Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na Kituo cha Redio cha East Africa, Bananga ameeleza kuwa maridhiano ndiyo njia pekee thabiti ya kuijenga Tanzania, akibainisha kuwa hitaji la mazungumzo liliainishwa pia katika ripoti ya Tume ya Jaji Chande.

Bananga amesema kuwa taifa haliwezi kuendelea kuishi katika mgawanyiko wa kisiasa na kwamba umefika wakati wa pande zote kukaa meza moja ili kukubaliana namna ya kusonga mbele.

Hivi wanataka kutidhiana na nani?
Chaumaa au UDP?
 
Back
Top Bottom