Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Sasa kama Kipa Djigui Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani?

Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti ya Kinafiki Championi na Mwanaspoti Peter Banda ( Simba SC ) ndiyo ameweza Kucheza huko AFCON ya Cameroon na kuingarisha vyema Simba SC kwani kila alipokuwa na Mpira Watangazaji walikuwa wakisema anachezea Simba SC ya Tanzania.

Nina Rafiki yangu Mmoja wa Kikongo ( kutoka Congo DR ) huwa anatushangaa sana Watanzania kwa Kuwasifia na Kuwapamba Kutwa akina Mayele, Moloko, Makambo, Bangala, Djuma, Mukoko na huyu Mbovu wa Juzi Ushindi wakati Wote hawa huko Kwao Congo DR ni 'Makapi' tupu na hata tukisikia wanaitwa Timu ya Taifa ni kujaza tu Idadi ila huishia Mkekani ( Benchini ) tu Kuchoma Mahindi.

Hata hivyo Mchezaji pekee huko Kwao Congo DR anaimbwa sana, ameshapata mpaka Tuzo kadhaa katika Ligi Kuu ya Congo DR na kwamba hata hapa Simba SC alipo saaa anapita zake njia kwani muda wowote anaelekea zake Ulaya ( hasa Ufaransa, Uhispania na Ubelgiji ) ni Beki Henock Inonga peke yake na ndiyo Mkongo anayejua Mpira kati ya Wachezaji wote wa Kikongo walioko hapa Kwetu Tanzania.
 
Sasa kama Kipa Guiggi Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani?

Hata mimi nashangaa Mkuu hawa vyura wanademka wakati Banda anakiwasha mechi karibu zote

Sent from my SM-A800S using JamiiForums mobile app
 
Djigui Diarra wa Yanga ni chaguo la Tatu ktk safu ya makipa timu ya taifa ya Mali

1. Ibrahim Mounkoro ( Tp Mazembe)
2. Diawarra ( FF Malmo- Sweden)
3. Diarra

Mounkoro amedaka mechi zote tatu afcon na ana clean sheet mechi mbili

Mechi alizocheza Diarra kwa mwaka jana 2021 ( full time goal keeping)

Algeria vs Mali (1-0) 06.06.2021
Guinea vs Mali (1-0) 24.03.2021
Mali vs Morocco ( 0-2) 07.02.2021
Mali vs Guinea (1-0) 03.02.2021

Hivyo kwa mechi hizo Diarra mechi ya mwisho kucheza ilikuwa tar 06.06.2021 dhidi ya Algeria ambapo ilikuwa kabla hajasajiliwa kuja Yanga

Kwa maana hio kitendo cha yeye kuja Yanga ambayo haishiriki michuano yoyote mikubwa barani África na wala haina mafanikio yoyote ktk ngazi ya kimataifa ni kama imeshusha CV yake kwa kiasi kikubwa ndio maana amedrop kutoka chaguo la kwanza mpaka la tatu

Na kwa mwenendo huo basi inawezekana akajikuta siku za mbeleni hata kuitwa timu ya Taifa ikawa baba Jeni bye bye
 
Wachezaji Yanga wamekata tamaa na wameamua kuficha aibu yao huko
 
Sasa kama Kipa Guiggi Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani?

Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti ya Kinafiki Championi na Mwanaspoti Peter Banda ( Simba SC ) ndiyo ameweza Kucheza huko AFCON ya Cameroon na kuingarisha vyema Simba SC kwani kila alipokuwa na Mpira Watangazaji walikuwa wakisema anachezea Simba SC ya Tanzania.

Nina Rafiki yangu Mmoja wa Kikongo ( kutoka Congo DR ) huwa anatushangaa sana Watanzania kwa Kuwasifia na Kuwapamba Kutwa akina Mayele, Moloko, Makambo, Bangala, Djuma, Mukoko na huyu Mbovu wa Juzi Ushindi wakati Wote hawa huko Kwao Congo DR ni 'Makapi' tupu na hata tukisikia wanaitwa Timu ya Taifa ni kujaza tu Idadi ila huishia Mkekani ( Benchini ) tu Kuchoma Mahindi.

Hata hivyo Mchezaji pekee huko Kwao Congo DR anaimbwa sana, ameshapata mpaka Tuzo kadhaa katika Ligi Kuu ya Congo DR na kwamba hata hapa Simba SC alipo saaa anapita zake njia kwani muda wowote anaelekea zake Ulaya ( hasa Ufaransa, Uhispania na Ubelgiji ) ni Beki Henock Inonga peke yake na ndiyo Mkongo anayejua Mpira kati ya Wachezaji wote wa Kikongo walioko hapa Kwetu Tanzania.
Malawi ina kikosi kidogo sana kulinganisha na mali, na kupata namba siyo kazi ndogo kwani ni taifa lenye wachezaji wengi wakubwa wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi yao, huo ndiyo ukweli msioujua kwamba aiana ya wachezaji kama banda hata kuitwa kwenye team ya taifa mali haiwezekani
 
Acha wajifatiji mkuu, kwa maana hawana pakutokea mwaka huu
 
Bendi ya Kongo ndombolo ya solo fc ... tutawaalika kutumbuiza Simba day!
 
Ndumu za Tarime zimechemka, ngoja tukuvumilie tu mwezi mchanga. Utaitwa timu ya DRC kwa bahati mbaya? Na ni makipa wangapi hudaka mechi moja?
 
Sasa kama Kipa Guiggi Diara ( Yanga SC ) ni mdaka Mishale na kila Siku Magazeti ya Kinafiki ya Mwanaspoti na Championi yanajipendekeza Kumpamba ( Kumsifia ) mbona tokea aitwe na Mali huko AFCON ya Cameroon anaozea tu Benchi / Mkekani?

Cha Kushangaza yule Mchezaji Bora na asiyeimbwa na Magazeti ya Kinafiki Championi na Mwanaspoti Peter Banda ( Simba SC ) ndiyo ameweza Kucheza huko AFCON ya Cameroon na kuingarisha vyema Simba SC kwani kila alipokuwa na Mpira Watangazaji walikuwa wakisema anachezea Simba SC ya Tanzania.

Nina Rafiki yangu Mmoja wa Kikongo ( kutoka Congo DR ) huwa anatushangaa sana Watanzania kwa Kuwasifia na Kuwapamba Kutwa akina Mayele, Moloko, Makambo, Bangala, Djuma, Mukoko na huyu Mbovu wa Juzi Ushindi wakati Wote hawa huko Kwao Congo DR ni 'Makapi' tupu na hata tukisikia wanaitwa Timu ya Taifa ni kujaza tu Idadi ila huishia Mkekani ( Benchini ) tu Kuchoma Mahindi.

Hata hivyo Mchezaji pekee huko Kwao Congo DR anaimbwa sana, ameshapata mpaka Tuzo kadhaa katika Ligi Kuu ya Congo DR na kwamba hata hapa Simba SC alipo saaa anapita zake njia kwani muda wowote anaelekea zake Ulaya ( hasa Ufaransa, Uhispania na Ubelgiji ) ni Beki Henock Inonga peke yake na ndiyo Mkongo anayejua Mpira kati ya Wachezaji wote wa Kikongo walioko hapa Kwetu Tanzania.
Uyo banda unaemsema angekuwa kwenye kikosi cha mali ata benchi asingekaa, unalinganisha aina ya wachezaji waliopo mali na waliopo Malawi? Tafuta wasifu wa mchezaji mmoja mmoja wa mali na timu wanazochezea alafu ulinganishe na hao wa Malawi, kitendo cha diarra kuitwa tu kwenye kikosi cha timu ya taifa ya mali ni moja ya kuonyesha kwamba ni bonge la golikipa, Timu ya taifa ya Mali inao wachezaji 3 tu wanaocheza ligi ya Africa waliobaki wote ni ulaya, sasa kaangalie Malawi kikosi chao kinao wachezaji wangapi wanacheza ulaya? Banda atashindwaje kupata mamba kikosi cha kwanza wakati ndie mchezaji wanaeona mwenye mafanikio kwao? Mnapoongea msiongee vitu nusu nusu wekeni fact zote ili watu walinganishe wachambue pumba na mchele!
 
Banda kacheza mechi moja tu ya kwanza waliyopoteza, walivyoona ana gundu hata benchi kwa mechi zilizofuata hakai
Ni kweli Banda kacheza hiyo Mechi Moja tu je, Diara kacheza Mechi ngapi huko Mkuu? Nasubiri Jibu lako la Kitakwimu pia.

Ndiyo maana aliyekuwa Kocha wenu Luc Eymael ( Raia wa Ubelgiji ) alisema ( hata YouTube ) kuwa wana Yanga SC wote ni Nyani, Mbwa na Sokwe.
 
Malawi ina kikosi kidogo sana kulinganisha na mali, na kupata namba siyo kazi ndogo kwani ni taifa lenye wachezaji wengi wakubwa wanaocheza soka la kulipwa nje ya nchi yao, huo ndiyo ukweli msioujua kwamba aiana ya wachezaji kama banda hata kuitwa kwenye team ya taifa mali haiwezekani
Utetezi wa Kipumbavu kutoka kwa Mpumbavu.
 
Back
Top Bottom