Uyo banda unaemsema angekuwa kwenye kikosi cha mali ata benchi asingekaa, unalinganisha aina ya wachezaji waliopo mali na waliopo Malawi? Tafuta wasifu wa mchezaji mmoja mmoja wa mali na timu wanazochezea alafu ulinganishe na hao wa Malawi, kitendo cha diarra kuitwa tu kwenye kikosi cha timu ya taifa ya mali ni moja ya kuonyesha kwamba ni bonge la golikipa, Timu ya taifa ya Mali inao wachezaji 3 tu wanaocheza ligi ya Africa waliobaki wote ni ulaya, sasa kaangalie Malawi kikosi chao kinao wachezaji wangapi wanacheza ulaya? Banda atashindwaje kupata mamba kikosi cha kwanza wakati ndie mchezaji wanaeona mwenye mafanikio kwao? Mnapoongea msiongee vitu nusu nusu wekeni fact zote ili watu walinganishe wachambue pumba na mchele!