Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

Mkuu umeanza vzr umemaliza vibaya, linganisha profile za wachezaji wa Mali na Malawi kisha tuanze mjadala.
 
Yaani ulinganisha nafasi ya kipa dhidi ya mchezaji wa ndani, Utafikiri sio watu wa mpira. Kikawaida ni kwamba kwenye nafasi ya kipa kunakuwa na kipa namba moja na kipa namba mbili mpaka kipa namba tatu. Nafasi ya kipa ni nadra sana kubadiilishwa katika michuano labda itokee kipa namba moja kaumia ndio ataingizwa kipa mwingine. Lakini kwa mchezaji wa ndani ni tofauti sana kocha anaweza kufanya sub ya mchezaji wa ndani muda wowote ule hata kama hajaumia mchezaji. Bila bila huyu GENTAMYCINE unayemsifia ndio huyu asiyetumia akili?
 
Naomba niambie huyu Ismael Diawara ni mechi ipi aliyopangwa kwanzia michuano hii ya AFCON ianze? Mbona mna hoja za kitoto sana?
 
Banda alicheza mechi mbili. Ya kwanza,walifungwa1:0. Alianza, alicheza dk 80,na kwa timu yao, yeye ndiye aliyepata pointi nyingi kuliko wenzie (yaani alicheza vizuri). Ya pili, aliingia dk ya 66,wakashinda 2:1 Ya mwisho na Senegal, aliishia benchi, yaani hakucheza, na walitoka 0:0.
 
Makolo wajue wapi haya mambo
 
Naomba niambie huyu Ismael Diawara ni mechi ipi aliyopangwa kwanzia michuano hii ya AFCON ianze? Mbona mna hoja za kitoto sana?
Sijajua ni chuki au ni ndio ukiwa na mahaba ya usimba na uyanga ndio akili haifanyi kazi. Yaani mtu katoa hoja utafikiri huyo Diawara anayechezea Malmo kadaka hata mechi moja kwanzia Afcon ianze, wakati scenario ni moja hiyo hiyo kocha hawezi kubadilisha kipa namba moja kama hajaumia, ama kuumwa
 

Ni yule aliyochomesha kwenye mechi ya Mbeya city au kuna Inonga mwingine?
 
Mchezaji wao wa kuitwa Kanoute ni Mali ila hata kuitwa haitwi ila makolo hayasemi. Au huyu Sakho kama ni bora kwa Nini haitwi huko senegal
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nyie mtaniua na mbavu zangu aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…