Banda wa Simba SC nimemuona akicheza AFCON ya Cameroon, ila Diara wa Yanga SC namuona 'anaozea' Benchi tu. Kulikoni?

Kamusoko wa Yanga hukumuona? Hata hivyo screen protector yupo reserved kucheza mechi ya final ambako huyo joyce banda hawezi kufika
 
Leta fact zako na sio porojo na hadithi za abunwasi apa muwe mnawaadaa na kuwadanganya wasiopenda kujishughulisha kutafuta details, jibu hoja izo moja baada ya nyingine kama kweli unachokiongea kina mashiko!
umeumia sana 😂
 
Mchezaji wao wa kuitwa Kanoute ni Mali ila hata kuitwa haitwi ila makolo hayasemi. Au huyu Sakho kama ni bora kwa Nini haitwi huko senegal
mada inazungumzia diarra tuliedanganywa atatitangaza ligi yetu kule AFCON na sio hao maan hawakuitwa
 
OKAY
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…