Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,819
- 7,638
Hata kugoogle "Nacala Port Mozambique" huwezi?Weka link basi tujisomee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kugoogle "Nacala Port Mozambique" huwezi?Weka link basi tujisomee.
Weka link basi tujisomee.
Ni wajanja wasioweza kuzitumia vizuri simu zao.Hata kugoogle "Nacala Port Mozambique" huwezi?
Yaani watu wanafikiri kikasuku tu. Kuna watu nje kila uwekezaji ndani ya nchi zetu wanafikiri wao watapataje hela, yaani hela ya kimataifa sio haya madafu yetu. Wenyewe inatakiwa tuwaze reli inaendelezaje uchumi wetu. Kwa mfano kipande cha tazara toka mbeya hadi dar kinabeba bidhaa gani au kinashawishi ukuaji gani wa uchumi. Tukimaliza SGR isiwe wazo ni mizogo ya congo rwanda burundi etc. Tuna mizigo kibao ndani ya nchi. Tunao uchumi unaohitaji reli. Tunao uchumi unahitaji kukuzwa na reli. Tujengi miundombinu yetu tukiwaza uchumi wetu. Huduma kwa nchi za nje ni biashara nzuri tutapata mapato kuendeleza nchi yetu ila lisiwe eti ndio jambo la kuwaza tu. Kama hatuwezi kupata mizigo ya nje basi mipango yote hakuna? Tukiwaza sahihi tutajikuta wala hatuanguki kwenye huu ulaghai eti ili upate ufanisi lazima uwape wageni kuendesha bandari zako🤣..ujinga mtupu🤔Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam?
CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania, watakaobisha na wabishe. Tulipopata Uhuru Tanganyika ilikuwa na reli ya Mtwara Nachingwea ambayo kwa ujinga wetu tuliing'oa badala ya kuiboresha. Kuiboresha reli hii ilikuwa ni kuifanya izitumikie nchi za Malawi kupitia ziwa Nyasa na na Zambia kupitia Kyela ambayo ni jirani ya Zambia kuliko Dar es Salaam, na mbaya zaidi ni nchi kushindwa kuitumia kikamilifu reli ya Tazara kwa kusafirisha mizigo ya Zambia na Malawi, badala yake kujikita eti kuondoa msongamano wa malori ya Tunduma! Hii ndiyo Tanzania inayothamini machawa kwa kuwaona ndio maendeleo ya nchi.
Mwisho kwa wale msiolijua hili, Kigamboni kuna bomba la mafuta kama linalojengwa kwenda Uganda isipokuwa hili linachukua mafuta toka Dar es Salaam kwenda Zambia, watanzania machawa nendeni Mbagala linapopita muone kama juu ya hilo bomba kuna fursa yoyote, linapita Kitunda, Kisarawe, Chalinze, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya na Songwe, juu ya bomba hilo hakuna fursa zozote na tumeshindwa kulitumia bomba hilo kikamilifu kwa kupeleka mafuta Zambia badala yake tunatumia malori yanayotutia hasara kwa matengenezo ya barabara yasiyoisha pia kusafirisha kiasi kidogo cha mafuta.
Lengo la reli ya Tazara lilikuwa ni la kubeba mizigo ila bahati mbaya kwa kutokujua umuhimu wa reli ni kwenye kubeba nini tukajikuta tunashabikia kwenye kibeba abiria kusikokuwa na faida, hivyo Tazara ikafa. Tangu Tazara ilipojengwa serikali haikuwahi kufikiria kujenga bandari kavu Tunduma ambayo ingehudumia Kongo DR na Malawi ambazo zingechukulia mizigo yao Tunduma badala ya Dar es Salaam hivyo tusingekuwa na misafara ya malori yanayoharibu barabara zetu. Viongozi wetu wanapofeli ni wanapoamua bandari kavu kujengwa Dar badala ya mipakani na mikoani, haya malori yanasongamana Dar huku reli zimelala bila mizigo na sawa na usemi penye miti hakuna wajenzi, Rwanda na Burundi zinachukua mizigo Dar! Kwanini zisichukulie mizigo yao Kigoma, tumefeli eti tunashangaa kwanini Indonesha tuliopata uhuru pamoja wameendelea tumelala.Yaani watu wanafikiri kikasuku tu. Kuna watu nje kila uwekezaji ndani ya nchi zetu wanafikiri wao watapataje hela, yaani hela ya kimataifa sio haya madafu yetu. Wenyewe inatakiwa tuwaze reli inaendelezaje uchumi wetu. Kwa mfano kipande cha tazara toka mbeya hadi dar kinabeba bidhaa gani au kinashawishi ukuaji gani wa uchumi. Tukimaliza SGR isiwe wazo ni mizogo ya congo rwanda burundi etc. Tuna mizigo kibao ndani ya nchi. Tunao uchumi unaohitaji reli. Tunao uchumi unahitaji kukuzwa na reli. Tujengi miundombinu yetu tukiwaza uchumi wetu. Huduma kwa nchi za nje ni biashara nzuri tutapata mapato kuendeleza nchi yetu ila lisiwe eti ndio jambo la kuwaza tu. Kama hatuwezi kupata mizigo ya nje basi mipango yote hakuna? Tukiwaza sahihi tutajikuta wala hatuanguki kwenye huu ulaghai eti ili upate ufanisi lazima uwape wageni kuendesha bandari zako🤣..ujinga mtupu🤔
Kiongozi ambaye hafikiri adha wanayopata wazee, watoto, na wagonjwa kusafiri Kwa Bus toka DSM Hadi Kagera, Kigoma nk bila kuwa na Uhuru wa kwenda maliwatoni , kusimamia au kutembea kidogo ni kuwatesa watu hao, wakati usafiri wa Gari Moshi unampa Uhuru huo abiria , hata kama itakuwa ni behewa la kukaa. Hivyo basi usafiri ulio Bora Kwa wazee, watoto na wenye mahitaji maalumu ni Gari Moshi na meli .Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam?
CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania, watakaobisha na wabishe. Tulipopata Uhuru Tanganyika ilikuwa na reli ya Mtwara Nachingwea ambayo kwa ujinga wetu tuliing'oa badala ya kuiboresha. Kuiboresha reli hii ilikuwa ni kuifanya izitumikie nchi za Malawi kupitia ziwa Nyasa na na Zambia kupitia Kyela ambayo ni jirani ya Zambia kuliko Dar es Salaam, na mbaya zaidi ni nchi kushindwa kuitumia kikamilifu reli ya Tazara kwa kusafirisha mizigo ya Zambia na Malawi, badala yake kujikita eti kuondoa msongamano wa malori ya Tunduma! Hii ndiyo Tanzania inayothamini machawa kwa kuwaona ndio maendeleo ya nchi.
Mwisho kwa wale msiolijua hili, Kigamboni kuna bomba la mafuta kama linalojengwa kwenda Uganda isipokuwa hili linachukua mafuta toka Dar es Salaam kwenda Zambia, watanzania machawa nendeni Mbagala linapopita muone kama juu ya hilo bomba kuna fursa yoyote, linapita Kitunda, Kisarawe, Chalinze, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya na Songwe, juu ya bomba hilo hakuna fursa zozote na tumeshindwa kulitumia bomba hilo kikamilifu kwa kupeleka mafuta Zambia badala yake tunatumia malori yanayotutia hasara kwa matengenezo ya barabara yasiyoisha pia kusafirisha kiasi kidogo cha mafuta.
Wao hawaoni umuhimu wakati ulaya gari moshi ni muhimu sana na kila siku wanaziboresha.Kiongozi ambaye hafikiri adha wanayopata wazee, watoto, na wagonjwa kusafiri Kwa Bus toka DSM Hadi Kagera, Kigoma nk bila kuwa na Uhuru wa kwenda maliwatoni , kusimamia au kutembea kidogo ni kuwatesa watu hao, wakati usafiri wa Gari Moshi unampa Uhuru huo abiria , hata kama itakuwa ni behewa la kukaa. Hivyo basi usafiri ulio Bora Kwa wazee, watoto na wenye mahitaji maalumu ni Gari Moshi na meli .
Huwezi kuwapatia kuongoza majitu ambayo akili zao zimejaa kutu.kila kukicha yanashinda Instagram kuposti upuuzi wa kichawa.nchi hii ngumu sana majitu mizima inapiga promo kwa DP world bila kufikiria mambo ya kiusalama kama zee lile la Musoma lichipa unategemea nchi iende mbele?Siku ya leo ni siku muhimu sana kwa nchi za Afrika ya Kati yaani Msumbiji, Malawi, Zambia na Zimbabwe kwani nchi hizi zitaanza kupitisha mizigo yake kwa kutumia reli fupi ya Nacala kuzifikia nchi hizi, je tutarajie nini kwenye bandari yetu ya Dar es Salaam?
CCM ni kikwazo kwa maendeleo ya Tanzania, watakaobisha na wabishe. Tulipopata Uhuru Tanganyika ilikuwa na reli ya Mtwara Nachingwea ambayo kwa ujinga wetu tuliing'oa badala ya kuiboresha. Kuiboresha reli hii ilikuwa ni kuifanya izitumikie nchi za Malawi kupitia ziwa Nyasa na na Zambia kupitia Kyela ambayo ni jirani ya Zambia kuliko Dar es Salaam, na mbaya zaidi ni nchi kushindwa kuitumia kikamilifu reli ya Tazara kwa kusafirisha mizigo ya Zambia na Malawi, badala yake kujikita eti kuondoa msongamano wa malori ya Tunduma! Hii ndiyo Tanzania inayothamini machawa kwa kuwaona ndio maendeleo ya nchi.
Mwisho kwa wale msiolijua hili, Kigamboni kuna bomba la mafuta kama linalojengwa kwenda Uganda isipokuwa hili linachukua mafuta toka Dar es Salaam kwenda Zambia, watanzania machawa nendeni Mbagala linapopita muone kama juu ya hilo bomba kuna fursa yoyote, linapita Kitunda, Kisarawe, Chalinze, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya na Songwe, juu ya bomba hilo hakuna fursa zozote na tumeshindwa kulitumia bomba hilo kikamilifu kwa kupeleka mafuta Zambia badala yake tunatumia malori yanayotutia hasara kwa matengenezo ya barabara yasiyoisha pia kusafirisha kiasi kidogo cha mafuta.
Mzee yule hana hata kitu kimoja ambacho atakiacha kama kumbukumbu akikata moto, labda lile koti lake lililomtia matatani kijana yule.Huwezi kuwapatia kuongoza majitu ambayo akili zao zimejaa kutu.kila kukicha yanashinda Instagram kuposti upuuzi wa kichawa.nchi hii ngumu sana majitu mizima inapiga promo kwa DP world bila kufikiria mambo ya kiusalama kama zee lile la Musoma lichipa unategemea nchi iende mbele?
Hoja zako sahihi kabisa. Tungejenga bandari kavu mipakani na sehemu zingine za kimkakati kuondoa msongamano na uchakavu mapema wa barabara zetu.Lengo la reli ya Tazara lilikuwa ni la kubeba mizigo ila bahati mbaya kwa kutokujua umuhimu wa reli ni kwenye kubeba nini tukajikuta tunashabikia kwenye kibeba abiria kusikokuwa na faida, hivyo Tazara ikafa. Tangu Tazara ilipojengwa serikali haikuwahi kufikiria kujenga bandari kavu Tunduma ambayo ingehudumia Kongo DR na Malawi ambazo zingechukulia mizigo yao Tunduma badala ya Dar es Salaam hivyo tusingekuwa na misafara ya malori yanayoharibu barabara zetu. Viongozi wetu wanapofeli ni wanapoamua bandari kavu kujengwa Dar badala ya mipakani na mikoani, haya malori yanasongamana Dar huku reli zimelala bila mizigo na sawa na usemi penye miti hakuna wajenzi, Rwanda na Burundi zinachukua mizigo Dar! Kwanini zisichukulie mizigo yao Kigoma, tumefeli eti tunashangaa kwanini Indonesha tuliopata uhuru pamoja wameendelea tumelala.
Viongozi wetu ambao ni wafanyabiashara wanalijua hilo ila hawataki ili kulinda malori yao.Hoja zako sahihi kabisa. Tungejenga bandari kavu mipakani na sehemu zingine za kimkakati kuondoa msongamano na uchakavu mapema wa barabara zetu.
Dunia iliacha kutumia barabara kusafirisha mizigo mizito, tunatakiwa tuiboreshe reli ya Tazara japo Zambia inaelekea bandari ya Nacala baada ya kuona kule ni karibu kuliko Dar. Kongo DR. ukarabati wa reli ya Banguela Angola utageuza mwelekeo wa Kongo DR. kuitumia bandari ya Dar.Mkuu umeleta mada ambayo imejadiliwa sana kwenye JF, Tanzania tunaongea mno, blah blah blah nyingi wakati wenzetu wanapiga kazi, ukienda pale OSBP kati yetu na Zambia, wenzetu upande wao wanaujenga upya ,sio kutia viraka ile T2 yao, inapendeza mno sasa kutoka nakonde hadi chinsali unateleza tu,hakuna tuta hata moja!,Tanzania tunahitaji tupate just 30%ya DRC cargoes, maana future ya Afrika kibiashara ni DRC, sisi tunalala ,Angola anajenga reli kuunganisha na DRC, Namibia (Wallis bay)wanapiga pesa nzuri sana hasa baada ya kazungula bridge kuisha pamoja na husuda za dictator Mugabe, ni mshenzi sana huyu msomi, kwa waliofika pale utaona bridge ime bend towards Namibia kisa Mugabe hakutaka lifike kwake (ilikua ni fupi kwa kuweka straight line),Zambia barabara za kwenda kusini kazijenga vema na anakula pesa nyingi mno including za road tolls, T1 yetu tuijenge upya sio kuwekwa viraka
Dunia iliacha kutumia barabara kusafirisha mizigo mizito, tunatakiwa tuibireshe teli ya Tazara japo Zambia inaelekea bandari ya Nacala baada ya kuona kule ni karibu kuliko Dar.Mkuu umeleta mada ambayo imejadiliwa sana kwenye JF, Tanzania tunaongea mno, blah blah blah nyingi wakati wenzetu wanapiga kazi, ukienda pale OSBP kati yetu na Zambia, wenzetu upande wao wanaujenga upya ,sio kutia viraka ile T2 yao, inapendeza mno sasa kutoka nakonde hadi chinsali unateleza tu,hakuna tuta hata moja!,Tanzania tunahitaji tupate just 30%ya DRC cargoes, maana future ya Afrika kibiashara ni DRC, sisi tunalala ,Angola anajenga reli kuunganisha na DRC, Namibia (Wallis bay)wanapiga pesa nzuri sana hasa baada ya kazungula bridge kuisha pamoja na husuda za dictator Mugabe, ni mshenzi sana huyu msomi, kwa waliofika pale utaona bridge ime bend towards Namibia kisa Mugabe hakutaka lifike kwake (ilikua ni fupi kwa kuweka straight line),Zambia barabara za kwenda kusini kazijenga vema na anakula pesa nyingi mno including za road tolls, T1 yetu tuijenge upya sio kuwekwa viraka
CCM haiwezi kutuvusha kwani inatengeneza shida ili iahidi kuzitatua wakichaguliwa!Kuwa mwafrika ni tatizo
Kuwa Mtanzania ni tatizo zaidi
Kuwa mwana CCM ni zaidi ya utahira.
CCM mpaka uchaguzi ujao utaahidi kupeleka maji kwa wananchi huku Tanzania kuna maziwa na mito kama takataka na huu ni mwaka wa 62 tangu tupate Uhuru.