Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.