Bandari inauzwa kwa waarabu, Gesi LNG inauzwa kwa uingereza, Mbowe, Lissu, Zitto mko wapi kupaza sauti?

Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.

watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Wacha mambo yako ya uzuzu wewe! Hivi ulikunywa wanzuki lita ngapi wakati ukiandika utumbo huu!
 
2020 mlipokuwa mnakata mauno kwenye kampeni za magufuli mlikuwa hamjui haya yatatokea?, Mkishatoka kwenye chaguzi ndio lawama zote mnazidondoshea kwa Lissu na Mbowe?. Lissu na Mbowe Kama mnanisoma endeleeni kulamba asali ili watz tujitambue na tuanzishe wenyewe harakati za kudai haki.
Magufuli alikuwa anauza bandari?
 
Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.

watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Hao uliowaita kutetea huwa wanaambiwa ni walamba asali au hawana ofisi.Kwa hiyo,wanaamini hata kuitetea nchi hawawezi.
 
Back
Top Bottom