Tuanze na wazalendo waliotukuka waliopo pale bungeni je wanasemaje?Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Mwendo kukimbizwa vifungu kwa kasi za mwendo kasi🏃🏃Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
[emoji1] [emoji1787] [emoji23] tena anavyokerekwa alibakiza kusema wameuziwa waislamHapo kwenye heading yako ulipoandika Gesi LNG inauzwa kwa Uingereza,hilo neno Uingereza kwanini hukuandika wazungu? badala yake umetaja nchi husika,hao waarabu wao hawana nchi?
Watanzania ni watu wa hovyo sana, kwahiyo hadi Lissu awasemee?Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Stuka,Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Inaonekana ama una IQ below average, auupeo wakoni dunizana kiasi kwamba hata unachosikia huelewi maana yake.Tumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Wamsema Mh Mnowe na wenzake, na wewe umefanya nini? Ni wajibu wa kila mmoja wetu kupaza sauti sio kumsakizia akina Mbowe peke yake nawe umekaa tuTumesikia ishu ya bandari kuuziwa mwarabu, mradi wa LNG nao mkataba wake haueleweki wa namna Tanzania itakavyonufaika, barabara ya kibaha moro dodoma kuendeshwa na mwekezaji na kulipiwa tozo kila ukipita, madudu yote yanaendelea lakini Zitto, MBowe na Lissu wako kimya kupaza sauti kuhusu ishu hizi.
watanzania watetewa na nani? maana bunge la kijani kama mlivyosikia wenyewe yanayoendelea bungeni.
Hata sijakuelewa. Yaani unakataa kuwa bunge hili halikuwekwa pale na Ngosha!Wewe ni mtu wa ovyo angalia baraza la mawaziri nani ni waziri mpya?watu ni wale wa zamani Magufuli aliwakuta
Kuchochea chuki ndo lengo lakeHapo kwenye heading yako ulipoandika Gesi LNG inauzwa kwa Uingereza,hilo neno Uingereza kwanini hukuandika wazungu? badala yake umetaja nchi husika,hao waarabu wao hawana nchi?