Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

Patriot

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
5,759
Reaction score
4,872
Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa kuongozwa.

Rais wetu akaanza kusikika kawa mfanyabiashara mashuhuri. Anajenga shoppimng Mall Dodoma. Sawa! Kila siku mikutano na anaowaita wafanyabiashara; mi nasema wachuuzi, retailers.

Sasa hili la Bandari limefunga maoni. Aliyeamini tuna rais mwenye fikra, alipotea. Kisha saini mkataba hovyo. Hata mtoe maoni gani, mkataba kisha funga kwa kuweka saini na rais aliyepewa PhD na UD.

NI aibu kwa nchi hii yenye milioni 60 kuwa na rais kama Samia. Mambo ya CCM kupeana nafasi za wizi kwa kisingizo cha amani ndo chanzo cha mambo kama haya. Kwa njia aliyopitia rais Wetu hadi kupewa PhD ya kujikomba. Siamini kwamba ana ufahamu uliostahili kuwa rais. Walioamini na wanaoamini anafaa sasa watathibitisha.
 
Kunywa maji ndugu usife mapema!

Binafsi nikitafakari sana mambo ya nchi HII huwa kichwa kinauma!najipoza na maji Baridi!!
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Ndio tatizo kubwa, uwezo wake ni mdogo sana kuongoza watu milioni 60 na kuwa na mamlaka juu ya rasilimali zao, mustakabali wa maisha yao, watoto wao na wajukuu zao.

Rais amepewa mtu asiye na uchungu na uzalendo na Taifa analoliongoza. Urais kwake ni kama mchezo, utani.
 
Hakuna aliyetegemea kuwa atakuwa rais, na CCM walimweka kuvuta kura za wanawake, sasa na Mumgu ndiyo akaleta maangamiz na kuamua ugomvi hapo hapo
 
Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa kuongozwa.

Rais wetu akaanza kusikika kawa mfanyabiashara mashuhuri. Anajenga shoppimng Mall Dodoma. Sawa! Kila siku mikutano na anaowaita wafanyabiashara; mi nasema wachuuzi, retailers.

Sasa hili la Bandari limefunga maoni. Aliyeamini tuna rais mwenye fikra, alipotea. Kisha saini mkataba hovyo. Hata mtoe maoni gani, mkataba kisha funga kwa kuweka saini na rais aliyepewa PhD na UD.

NI aibu kwa nchi hii yenye milioni 60 kuwa na rais kama Samia. Mambo ya CCM kupeana nafasi za wizi kwa kisingizo cha amani ndo chanzo cha mambo kama haya. Kwa njia aliyopitia rais Wetu hadi kupewa PhD ya kujikomba. Siamini kwamba ana ufahamu uliostahili kuwa rais. Walioamini na wanaoamini anafaa sasa watathibitisha.
Kwani Patriot ilisha fika kule Ukraine na kuanza kazi🤔
 
Back
Top Bottom