Kuna wakati matusi yanafaa kwa watu wajinga kama hao,wewe umekazania kila siku ukatili ukatili.wala huelezi huo ukatili.
Kwahiyo walichofanyiwa kina Azory na Ben Saanane kwako sio ukatili?,watu wengine wakati mnaandika sijui mnakua mmekalia kigogo[emoji706]
 
Hakuna tusi pale,na kama lipo wakati mwingine linawafaa watu wajinga kama hao,eti mzee kwa wajinga na wapumbavu huwa hawazeeki?. Wewe mda woote unaongelea ukatili,ukatili ukatili! Ukatili gn wewe huo alikufanyia magufuli.
Wewe kweli ni matade kama pale hujaona tusi
 
Akili kubwa zinazungumza.

Tunaomba CCM na praise team ya Lumumba muje mjibu hoja za Dr. Slaa
 

Kisa muislamu na ni mzanzibari basi mtaongea sana
 
Kisa muislamu na ni mzanzibari basi mtaongea sana
Sio
Raisi amepokewa kwa mapenzi makubwa sana na Watanganyika, na ni kati ya Marais wanaopendwa sana.

Ni kwamba tunamsaidia ili tuzidi kumpenda.

Mtoto kipenzi lazima umchape fimbo anapokosea ili aende sawa.
 
Nasikia anaenda kutoa kauli ngumu sana kama msimamo wa wazalendo. Baada ya hotuba yake, sidhani kama atakuwepo Mtanzania yeyote atakayediriki kulitaja tena jina la DP World.

Kisa Rais ni muislamu basi mtaongea sana, kisa mwekezaji ni muarabu basi mtaongea sana, lakini wapo ambao sio waislamu lakini wanaunga mkono suala la DP, Mungu ambariki mama samia, Mungu awabariki wawekezaji
 
Kisa Rais ni muislamu basi mtaongea sana, kisa mwekezaji ni muarabu basi mtaongea sana, lakini wapo ambao sio waislamu lakini wanaunga mkono suala la DP, Mungu ambariki mama samia, Mungu awabariki wawekezaji
Waislam unawajua?
 
Tukiwaambia sasa hivi aneongoza n JK muwe mnaelewa.

Yule bibi ni kivuli tu.
[emoji116]
"4. Serikali ya awamu ya nne wakati inataka kutaifisha mashirika muhimu ikiwemo bandari, aliyetupa taarifa alifukuzwa kazi. Alitupa taarifa ya kutokubali kuyataifisha kutokana umuhimu wake kwa usalama wa Taifa."
 
Unadhani angekua bado ni balozi angezungumza haya aliyoyasema leo
Kinachotutafuna ni aibu ya kutoambiana Ukweli, wanasema never outshine your boss.

Lakini kwa hali ilivyo, athari za jambo hili ni kubwa kuliko tunavyoweza kufikiri.

Kila kitu tukiwagawia Wageni, sisi wenyewe tutamiliki nini? Sawa tuwagawie, kwanini isiwe miaka 30 au 20 lakini wewe unampa mtu kitu bila muda maalumu.

Kweli kuna Utofauti wa Chifu Mangungo asiyejua kusoma na Kuandika na wewe uliyesoma hadi kupata Udaktari lakini unagawa rasilimali za Nchi kama Pipi 🤔
 
Huyu bibi atatutia matatizoni wakuu!
[emoji116]
Dkt. Slaa ameongelea mfano wa mbia katika kampuni ya mafuta wakati wa vita ya Uganda ambapo Tanzania ilikuwa inamiliki 51% katika kampuni hiyo huku mbia akiwa na 49% lakini aliweka ngumu kwasababu alidai mtu tunayepigana nae ni mbia wake pia hivyo. Slaa amedai kwa siku 5 vifaa havikuweza kuondoka kwasababu ya mafuta wakati nchi inaendelea kupigwa.
 
Dah.. R. I. P Magufuli
[emoji116]
6. Slaa amesema sababu hapo juu pia ilisababisha Serikali ya awamu ya tano itumie wajenzi wa ndani kujenga Ikulu lakini sasa bandari zote zinakabidhiwa kwa mgeni.
 
Anaweza kuitwa na Samia na kuhongwa ubalozi Malawi.
Huyo Mzee ameshaona amezeeka, hivyo hana ulazima wa kumlamba miguu boss.

Anachokifanya sasa ni kuwatetea Watanzania ambao bado hawajazaliwa na wengine ndiyo kwanza wana miaka 5 lakini bila hata kuulizwa Bandari zao zote zinauzwa ukianzia na Ziwa Victoria, Tangayika, Nyasa, Mto Ruvuma kule, Bahari ya Hindi yote na Bandari zake kasoro zile za Zanzibar tu 🙌🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…