Anaonekana ni mtu asiyejali lolote. Kama yupoyupo tu. Nchi wanaendesha wengine.
 

NIMESEMA NA NINASEMA TENA MWANAMKE ASIPEWE NCHI TENA NA IWE MWIKO KABISA.
 
KINACHOENDELEA NI MAANDALIZI YA ZANZIBAR KIJITENGA NA TANGANYIKA ILI LITAKAPOTOKEA HILO MAJESHI YETU YATAKUWA HAYANA MAMLAKA YA KUTUMIA PWANI HII YA BAHARI YA HINDI,SASA UJINGA UNAENDELEA NA MAJESHI YAKO KIMYA.MKATABA UMEJADILIWA NA WATU WA DARASA LA SABA AKINA MSUKUMA HII NI AIBU KWA NCHI.
 
Dr. Unapinga mkataba huu kwa kuogopea ile Holiday ya Mizigo ya Makanisa haitakuwepo tena?
 
Mbona nimeshtuka sana?

Huo mkataba upo wazi kusomwa na raia?

Natamani kuuona. Nahisi nimepatwa na hofu fulani hivi!
 
We umejuaje kuwa DPW sio ya Wazungu.
Au kwakuwa ipo Uarabuni ?

Sikiliza mawazo ya wadau na sio kuangalia Dini.
Dini wewe atakusaidia nini ?
 
Wafia Nchi ya Tanganyika wana
Wafia nchi ya Tanganyika wanatoka Povu.

Sisi Wazanzibari Tumelia miaka zaidi ya 50
HATUUTAKI MFUMO HUU WA MUUNGANO, HAUNA MASLAHI NA ZANZIBAR wenzetu walituona tuna chokochoko na wapenda fujo. Sasa kumbe kushikiwa Maarifa chungu .

Nyiyi watu muna chuki, sijui kwa nini munawachukia waarabu, Waislau wakati ni sehemu ya historia yetu.
Wazungu wamejazana kwenye migodi ya dhahabu wanasomba mali kila uchao tena yenye thamani kuliko uendeshaji wa Bandari.

Semeni ukweli musimumunye maneno. DP- World ni waendeshaji wa Bandari si wamiliki, Bandari ni mali ya Tanganyika na itabaki hivyo maisha. TPA imeshindwa kuendesha kwa ufanisi na ndio maana wakaona haja ya kutafuta kampuni yenye uzoefu na historia ya ufanisi.

Serikali si Raisi peke yake, ni pamoja na Mawaziri na washauri kadhaa wa Uchumi waliobobea.
Lakini Watanganyika wachukulia mambo haya kama Mpira wa simba na yanga vile ,ilimradi tuu kila mtu anaongea na kutoa sauti bila ya kujua kiichopo na anachotaka ni nini.
 
Huu mkataba ni wa kipumbuvu kuwahi kutokea Tanzania

Dp ni majangili na waharibifu tunajua hili wamekuja kwa malengo maalumu ya kuangamiza nchi yetu

Hawa waarabu wanaweza wakabebwa na huyu mama ila titaipigania nchi na tutawafukuza tu
 
Watanganyika wamezubaa sana

Wakipewa vyeo na Samia meno yote nje huku chini ya kapeti nchi ikipigwa mnada
 
Jamaa anatafuta njia ya kurusi tena Chadema,sasa kuweni makini huu ni mtego.
CCM ni hatari sana kwa stahili hii jamaa watatawala milele
Jamaa hata akienda chama cha Mzee wa ubwabwa akipewa muda ataijenga vizuri tu
 
Godman I don't support mkataba mbovu. Ila kupinga uwekezaji kisa tu ni kampuni ya nje ni ujinga. Mkataba upitiwa kwa kina na uwazi.
Hicho ndiyo Watanzania wengi tunachopinga, unatakiwa Mkataba mzuri kwenye uwekezaji huu, Mkataba uliopo kwenye uwekezaji wa Bandari unatakiwa kufanyiwa marekebisho.

Hakuna mtu aliyetoa hoja ya kukataa uwekezaji bali hoja iliyopo ni Mkataba ambao Nchi yetu inaingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…