Anayepinga uwekezaji wa bandari ni adui wa maendeleo. Mmeendesha bandari wenyewe miaka yote bila tija yeyote zaidi ya rushwa na urasimu tu. Maza akimaliza bandari zifuate airports wape wanaojua wanachokifanya na wenye nyezo za kazi.
Kama wameshindwa kupambana na rushwa ya ndani(kwa mujibu wa maelezo yako) ya nje wataiweza?
 
Kama zabuni ilitangazwa siyo siri
 
Unammilikisha mtu lango la uchumi wa nchi.

Hata Mungu atakushangaa.
 
Nondo tu
 
Kuchukua mikopo ya Biashara yenye riba kubwa nikuuza nchi pia

Sasa hivi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan vua hiyo mawani ya twitter.
Alichukua hiyo mikopo yenye riba kubwa wapi,kiasi gani na kwa riba ya kiasi gani
 
Hata mimi nimeona wapigaji ni wengi na mama ameona kupambana nao ni ngumu maana wengi ni vigogo hivyo akaona dawa ni kumpa mwekezaji big up mama.
Kama wapigaji wa ndani ameshindwa kupambana, je wa nje atawaweza?
 
Nchi ikiwa na watu wenye akili duni mfano wako hasara tupu soma kwa makini hoja za Kizalendo za Daktari Slaa
 
Kwahiyo walichofanyiwa kina Azory na Ben Saanane kwako sio ukatili?,watu wengine wakati mnaandika sijui mnakua mmekalia kigogo[emoji706]
Acha kulinganisha Bandari na hao watu ambao hata ukiambiwa uthibitishe chochote kuhusu hao watu huwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…