Rungwe ameukaribisha uwekezaji wa Bandari ila amesema mkataba urekebishwe ili uwe na maslahi kwa Taifa.
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kukaribisha kitu chenye kasoro za kijinga wakati kasoro hizo zinaweza kurekebishwa
 
Dah..

Mamaaee ..
Nchi hii ngumuu..

Ahsante Dr.
 
Watamtusi na kina Kibajaj watamuitishia press ... hii nchi hii bana ...
 
Magufuli alitangaza tenda? Wananchi walishirikishwa??
Unaweza kukiuka taratibu lakini hakuna ufisadi na value for money is fairly presented. Kama kuna fisadi nyie si ndio mko madarakani? Semeni!

Huyu wenu anauza nchi na mikataba ya ovyo kuwahi kutokea! Unasaini mkataba hata estimates za expected investment huna? Just a simple case.
 
Hivi Mushumbusi yuko wapi amemuacha huyu Paroko na sononeko
 
Pingamizi liende mahakama za kimataifa tunaibiwa kwa nguvu.
Hili ni sawa na lile rada UK ilisaidia kujulisha wizi
 
Leo nimemuona Dr Slaa ndani ya Kaunda suit.

Tanzania Huwa tunasema tu na mambo yanabadilika.

Hata hili, halitafanikiwa.

HAIKUBALIKI.


Sa100 must go!!!!!!
 
Kwa mtu mwenye akili timamu huwezi kukaribisha kitu chenye kasoro za kijinga wakati kasoro hizo zinaweza kurekebishwa
Wewe hata ukipinga CCM watapitisha tu kama ilivyokuwa Migodi nk. utawafanya nini?

Mzee Hashim Rungwe ana hekima sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…