Hii nchi ingekua ni nyumba ya kupanga,ningehama haraka sana.
 
Hi hakuna uwezekano kwa magwiji wa sheria hapa nchini kupinga huu mkataba kwenye mahakama ya usuluhishi wa kibiashara duniani?
 
Hakuna tatizo.

Kama agent anafanya KAZI Kwa maslah mapana ya nchi Kuna tatizo Gani?

Jibu HOJA za Slaa, usidhani Kuna watoto humu.
Hakuna watoto bali kuna wajinga,
Hakuna mwenye Maslai ya nchi hapo wote ni wasaka tonge.
 
Duh, kweli tunamkumbuka
 

Attachments

  • VID-20230613-WA0001.mp4
    11.7 MB
Dhambi zako dk slaa apewe mbunge msukuma kuanzia sasa, usikengeuke tena
Maana sisi upande wa pili ulituogopesha ulivyotubadilikia, yote tuliyokuwa tunapigania kwa nyimbo za bob. Marley pale arusha na kupigwa mabomu na yale majeraha ya marungu aliyopigwa mkeo, sikutegemea kabisa kama ungetukimbia
Nakumbuka mabomu ya pale soweto walivyotugeuzia kuwa tulijilipua ili kujipa maarufu
Haya mkuu dk slaa rudi uipiganie tena nchi yako wewe ni baadhi ya wazee mlio baki
Mimi ni mmoja ya watu ninao lilia serikali za MAJIMBO mpaka sass
Maana upuuzi kama huu ingekuwa ngumu kupita, maana linalotokea wa zanzibar kuwa ngumu na mali asili zao ni kujitawala
Ingekuwepo serikali ya majimbo hata zanzibar ingekuwa jimbo bila kupenda
 
Somaliland na Somalia ziliungana na Kuzaa Somalia zikashindana na Somaliland ikajitoa kwenye muungano, huyu Mzee Mihogo aache kupotosha.
Mbona kama ume lose focus comrade ?
 
da!!!!!...........................unaweza kujinyonga kwa ku2mia mlenda au udenda aisee!!!!
 
Ila Bandari za Zanzibar zina ufanisi?

Wakongo, wazambia, warwanda, warundi, wamalawi unadhani watashusha mizigo yao Zanzibar? Uwekezaji unafanyika sehemu zenye tija.
 
Huu ni uzi wa kubainisha madhara yatokanayo na kubinafisisha Bandari na viwanja vya ndege hasa nchi inapolazimika kuingia kwenye vita

Ni madhara yepi nchi inaweza kupata
 
Hukuona hayo wakati tics wamekaa bandarini pale miaka yote hiyo??? Kwa nini hukuanzisha hili wakati tics wapo bandarini?
 
Mh. William Lukuvi Na Azimio La Bandari Anene Haya :


Tumeshindwa wenyewe kwa miaka mingi kujaribu kuleta ufanisi bandarini lakini imeshindikana anaweka wazi mkongwe huyu wa siasa .

Sasa tumepata foreign direct investment kubwa kupitia mradi huu wa DP World katika bandari, sasa mlango wa bandari unafunguka na watanzania watoe hofu kuwa nchi imeuzwa.

Mpaka raia na taasisi nzima imekubali mradi huu basi wananchi tumuamini rais wetu na uzalendo wake pamoja na timu nzima ya waziri Mbarawa na wataalamu wake kufanikisha mradi huu.

Watanzania watulie TRA watakuja kutuambia matapo ya forodha n.k ya alichokiita 'kiwanda' kikubwa kabisa kinacholipa mapato mengi zaidi nchini kitawekwa wazi.

Mbunge huyu 'mkongwe' wa Jimbo la Ismani, Iringa kupitia CCM toka mwaka 1995 hadi leo 2023 Mh. William Vangimembe Lukuvi : soma zaidi ukongwe ktk siasa : Source:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…