Mzanzibari Huru
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 373
- 225
Wana Jukwaa
Ama kweli akili ni mali na ujinga ni adui!
Watanganyika, watu wenye rasilimali asilia za kila aina, kuaniza ardhi kubwa ilimikayo, 60% ya ardhi hiyo binadamu hajawahi kuweka mguu wake, maadini mbali mbali yenye thamani kubwa sana dhahabu, almasi, shaba, chuma, tin, lithium, nickel, cobalt, graphite, manganese. Wanyama, bahari, mito, maziwa, mafuta na gesi. Lakini asilimia 99 ya watanganyika ni mafukara baada ya kuwa na mali yote hiyo.
Leo, watanganyika wanalalamika na mkataba wa bandari, huduma ambayo hata kwa miaka milioni ijayo watanganyika hawana uwezo wa kuindeleza kwa njia moja au nyengine. Sababu zinazotelewa juu ya malalamiko hayo ni eti mikataba mibovu. Ajabu mno, maana Tanganyika haijawahi kuweka mikataba yoyote ya maana, kwanini iwe ajabu leo?
Katika mikataba mibovu mno iliyowekwa na watanganyika ni ikiwemo mkataba wa muungano, mkataba ulioivunja sarikali na nchi ya tanganyika, mkataba wa siri na makanisa wa 1992 serikali kutoa mabilioni ovyo ovyo tu kwa kanisa. Hakuna mtanganyika aneyeuliza kwanini kanisa wapewe mabilioni bure bure. Mikataba michafu ya uchimbaji wa dhahabu, wananchi wahakujuilishwa kinachondelea maana bunge halikujadili mikataba hiyo. mikataba ya ajabu ya uondoshaji miti ya mbao, hakuna ajuwaye anaeondosha ni nani na zinakwenda wapi.
Lakini, ikija ndege kuchukuwa wanyama, na ndege hiyo ikiwa ni ya waarabu basi zogo linaazna, wanyama pori kwa bahati tu wametokea kuazliwa tanganyika, lakini wengi wa watanganyika hawajui hata maana ya kuwa na wanyama pori hao. Lakini wakichukuliwa na wazungu kupelekwa Amerika kimyaa.
Bandari walipopewa wachina kwa mikataba michafu hakuna alosema kitu. Walipopewe Waarabu zogo. Tatizo lenu ni nini nyie watanganyika? Watu wanafanya vikao vya siri kuzungumzia waarabu lakini wanasahau ukweli kwamba watanganyika hamuna uwezo wa kujiendesha kuichumi. nyie ni watu wa porojo tu na kuburuzwa tu. Kupata waarabu wa Dubai kujenga bandari na kuiendesha ni neema kubwa kwenu. Tunatamani wangekuja Zanzibar.
Nyie ni watu wa kwenda makanisani kwenu kuimba kuwashukuru waarabu kukubali kuindeleza bandari yenu, ukweli wa maisha ni kwamba wao kila wanapoweka mkono panageuka dhahabu na nye kila munapoweka mkono panageuka udongo. Mfano leo hii, watanganyika nyote muhamishwe na mupelekwe Dubai, muwache kila kitu kama kilivyo, na wadubai wahamishwe waje tanganyika wawache kila kitu kama kilivyo dubai, baada ya miaka 5, Emirate Airlines itakufa, Jebel Ali itakufa, majumba ya dubai hayatatizimika kwa uchafu. Wakati tanganyika itakuwa nchi tajiri yao Afrika, Air Tanzania litakuwa shirika kubwa la ndege afrika, wanyama pori wataingiza mabilioni ya dola za kimarekani kil amwaka, bahari itatowa ajira, maadini wataleta viwanda kwa maelfu.
Kwa ufupi watanganyika ni watu wa kuendeshwa tu, tulieni mujengewe na kumbukeni kwamba MSALABA HAULIWI
Ahsanteni sana