Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Hili suala la ubunafsishaji bandari ya DSM limeleta mtafaruku wa kisiasa.
Mwalimu Nyerere 1967 alitaifishashuhuiztekuu za kiuchumi ili nchi tujitawale wenyewe. Yeye aliziita njia kuu za Uchumi.
Humo yalikiwemo mabenki, nyumba, makampuni ya usafirishaji, makampuni ya madini (Mwadui).
Sasa leo hata wengine hatujasahau, wafanyabiashara wa nje wanapewa njia kuu kabisa ya uchumi kama bandari, kuiendesha kwa miaka 100.
Niulize tu maswali mawili:
1. Ni kikao kipi cha CCM kiliamua kubinafsisha hii jia kuu ya uchumi.
2. Uamuzi huo wa kubinafsisha njia kuu ya uchumi ulifanywa kwa RIDHAA ya wananchi gani?
CCM itahitajika kutoa maelezo yanayo kidhi juu ya hili, ama sivyo huko mbele watabeba msalaba wao.