Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Mtoa thread anauliza: "Je, Chama kina msimamo gani juu ya hii biashara kichaa?" Ya chama atajibu POLE POLE amabaye siku hizi kaingia mitini. Kwa hili atatoka pangoni tu. Tunamsubiri!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni sawa na kujifungia chumbani utegemee mwanga wa kupitia kwenye nyufa za dirisha
Ndiyo jambo la msingi sana hilo.Huu mradi ni kama 23trilion tu, tuna mradi wa Umeme takribani 7trn, tuna SGR na wenyewe ka 7trn nafikiri na miradi kibao inaendelea, tukiwa na mipango ya muda mrefu tukaamua tuufanye tunaweza
WACHINA WAPO JWTZ wanatoa trainings, consultation kama huna taarifa.Wanatoa na Magari. 🤣🤣🤣Aisee nyie Watanzania kwa kushirikiana na JWTZ chukueni nchi yenu. Hawa viongozi wa ccm na upinzani wachomwe moto na gesi ya mtwara live ikiinyoshwa tbc taifa. Nchi zote zilizoendelea viongozi wale wanaonafanana na hawa wa kwetu walipigwa risasi, kunyongwa hadharani. Ilisaidia sana kwa kuwaambia wasifanye makosa ya kuumiza vizazi vya nchi.
Acha ku'label' kila mtu mwenye utimamu wa akili kuwa ni msukuma ww mzaramo😂! Kwanza unaonekana weye ni mkabila sana mfyuuuuu 😡!Nyinyi sukuma gang kamwe hamtaweza kumkwamisha rais wetu
Sijajua wanaona ugumu gani? Kuweka mkataba waziWananchi tuwekewe huo mkataba wazi, tuamue, wanasiasa huwa wana angalia matumbo yao pekee.
Wewe hauwezi kuwa na akili timamu huku unaubeza utawala halali wa nchi.Acha ku'label' kila mtu mwenye utimamu wa akili kuwa ni msukuma ww mzaramo[emoji23]! Kwanza unaonekana weye ni mkabila sana mfyuuuuu [emoji35]!
Bora upoteze 1000 kwa kununua sabuni kwenda kupigia nyeto, kuliko kupoteza 50000 kwa kwenda kumlipa malaya ili umkule kavu kavu ili hali umekwambia ana ukimwi na gono. Ni fumbo tuMwendazake alikuwa Mpumbavu wa kiwango Cha lami. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo una manufaa makubwa kuliko uwanja wa Chato, kuliko SGR kuliko Bwawa la Nyererere, kuliko Ndege zinazotafuna nchi hii.
Kama yeye ni rais na aliona mradi huu haufai ilipaswa aachane na ule mkataba aanze nao mkataba mpya au mkataba uboreshwe Kama ilivyokuwa kea ACCACIA na BARRICK .
Miradi Mingi ya Magu ni white elephant. Ni hadara kea taifa. Mradi huu Magu angeweza kuuendeleza kea kuanza upya mchakato Ili uwe na maslahi kwa pande zote mbili, yeye Kama rais alikuwa na uwezo huo.
Ila kwa kuwa alikuwa Hana akili akaufuta halafu anatumia matrion kutengeneza airport kijijini kwao na daraja la busisi porini kea mabilioni. The man was crazy
Vyuo vilivyopo vimejaa?eneo halipo wazi, kuna chuo cha uvuvi FETA, ndio inatakiwa wahmishwe ili ijengwe bandari.
Totafutisha eneo binafsi na eneo la umma na weweKwa hiyo unaniruhusu nije kwenye kiwanja chako kilichowazi nijenge bangaloo langu na nipafanye pangu 4 99 years! Ambapo ww utakuwa udongo na hata wanao pia watakuwa udongo! Kisha wajukuu wasiweze tena kurudisha eneo lako eeh! Hii akili au 💩!
Kwa hiyo unaniruhusu nije kwenye kiwanja chako kilichowazi nijenge bangaloo langu na nipafanye pangu 4 99 years! Ambapo ww utakuwa udongo na hata wanao pia watakuwa udongo! Kisha wajukuu wasiweze tena kurudisha eneo lako eeh! Hii akili au [emoji90]!
Kama ule mkataba haukufikia makubalino , basi mwendazake alikuwa na uwezo wa kuureview ule mkataba Kama alivyofanya kwa ACCASIA, Wachina wangekubali kabisa, lakini yeye akaona aupotezee, Bandari ya Bagamoyo itajengwa tu, hata kama si kwa miaka hii ;Ila mkataba unapawa kuwa mwingine Kama kweli huu ulikuwa na tatizo.Bora upoteze 1000 kwa kununua sabuni kwenda kupigia nyeto, kuliko kupoteza 50000 kwa kwenda kumlipa malaya ili umkule kavu kavu ili hali umekwambia ana ukimwi na gono. Ni fumbo tu
Kuna ujinga una substitute ule uwanja kule polini unaweza kugeuzwa ukawa uwanja wa jeshi lakin swala la bandari ikiisha chukuliwa hakuna mbadara wake tena hapo.
Nakumbuka hili swala ata hayat aliwai kuliropoka(sijui kama ni lugha nzuri ila acha niitumie) na akaropoka na masharti tuliokuwa tumepewa.
Yes mother fu*@You're just proving your stupidity.
Kwa Nini Kama Magufuli alikuwa na akili kutengua makubaliano ya ACCASIA kea Nini na mradi huu asingeureview?Huna akili
assh*leYes mother fu*@
[emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577] heri ukose akili Ila uwe na maarifa.assh*le
wewe hauna vyote[emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji2413][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577] heri ukose akili Ila uwe na maarifa.
Ona ulivyompumbavu!Ni ujinga tu unatusumbua, eneo limekaa wazi zaidi ya miaka 2000, kuna faida gani kubaki na eneo wazi badala pajengwe?
Kama maza akoOna ulivyompumbavu!