Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

Najiuliza kama ni hivyo je wakipitisha hilo wabunge watakuwa wamewatendea haki wananchi?
Mwenye hilo Bunge kafa kamuachia Ndugai sasa hao Wachina wanahangaika nini Wamuhonge Ndugai kitita kinono ili mgogo akafe kwa kula starehe

Ubinafsi wa KiCCM ndio umetufikisha hapa

Hata Mama akikomaa atashinikizwa
 
Hivi huyu Spika amekuwa wa kuambiwa aseme chochote na anasema?
Kwanini wanatumika hivi kwa maslahi yao ya Leo tu?
Vipi kuhusu ya kesho
 
Hivi hao majasusi wa kidola hawakuona kama ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ulikuwa ni ufisadi mtupu wenye lengo la kumnufaisha Magufuli?
Acha kulinganisha mkataba wa Bagamoyo na Uwanja wa Chato ni kichaa tu anaweza kufanya hivyo leo Serikali ikitaka kuchukua vitu vyote vilivyoko U/Chato inachukua bila hata kushitakiwa na mahakama za Kimataifa tofauti na Bagamoyo
 
Huo mradi ingekuwa Chato by now ingekuwa ushakamilika.
 
Unateseka ukiwa Chato au Burundi???
 
Mtaandika yooote Ila siku ya mwisho ni kuwa Bandari itajengwa na faida za kiuchumi zitapatikana. Mtake msitake.
 


Kwa mkataba huu hapana haufai kabisa kabisa,,

Tunaomba serikali iliyopo wasiukubali la sivyo uwekwe wazi tuuone hapa
 
Wewe ndo CHIZIIII KABISA

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga tu unatusumbua, eneo limekaa wazi zaidi ya miaka 2000, kuna faida gani kubaki na eneo wazi badala pajengwe?

Mkauze sasa maeneo yote yenye mapori mbakie na maeneo yenye makazi
 
Wewe ndo CHIZIIII KABISA

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
Wewe ni chizi sasa Nani kakuroga tena?, kweli watu wabaya wanahangaika kukuroga wewe chizi, kisa huvui nguo hadharani sasa wanataka uwe unavua nguo hadharani na kupiga watu Ili wakikukamata ufungwe minyororo Kama enzi zile utumwa . Watch out!
 
Kweli kabisa, hivyo ndivyo inavyopaswa kuwa, iundwe time ya wataalamu wakae wakubaliane upya, na huo mkataba uwekwe wazi Ili basi wananchi tujue Nini kinaendela kuliko huyu anasema haufai huyu unafaa lakini wote wanaobishana wameuona mkataba, sisi hatujauona kwa hiyo tunachangia kea hisia.
Ila ni project nzuri tu.
 
Acha hasira jibu hoja, kwani wachina wanachukua wilaya nzima ya Bagamoyo?

Hakuna shaka yoyote Wewe ni Mangungo wa Msovero, watu wote wangekuwa na akili yako wwe ungezaliwa si ungekuta nchi yote imegawanywa kuwa maeneo ya nchi zingine!

Hii Tanzania leo hii ingekuwa kila sehemu inamilikiwa na nchi nyingine na kuingia eneo hilo lazima uwe na Visa🤣🤣🤣

Acheni ujinga wa kuwaza leo leo!!
 
Jamani tunaomba huo mkataba tuusome tuthibitishe wenyewe unalolisema....full stop kumbukeni hii nchi wote sio vilaza wa kuwambiwa tu na kuitikia ndio
 
Kawekeze sasa hapo na hiyo tecno yako
 
Kama tulihitaji huo mradi hao wachina walipatikanaje? Kwa ushindani au kulipa fadhila?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…