Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

Bandari ya Bagamoyo aka Mbeganizhou ya Wachina

Kama wewe jitu lishakufa bado unaangaika nalo! Kitu asingekosa si ndio maana na yeye kaja na miradi yake ya kupiga hela ni jizi tu kama majizi mengine bora Mungu katuepusha nalo

Wewe ndio unaangaika nae sio mimi .. nimejaribu tu kufungua akili yako ilo lala
 
Hivi hao majasusi wa kidola hawakuona kama ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato ulikuwa ni ufisadi mtupu wenye lengo la kumnufaisha Magufuli?
Si ndio hapo mkuu, wale wote wanaopinga mradi wa ujenzi wa bandari ya B'moyo na viwanda vya kisasa vitakavyo izunguka nawachukulia kama wachawi vile - wako too myopic sijui kwa bahati mbaya au by design wanajitia hawajui manufaa makubwa kwa Taifa letu yatakayo letwa na such Mega Project badala yake baadhi ya waswahili wanakuwa driven na propaganda chafu zinazo sambazwa na taasisi za kijasusi za Merikani na Ulaya specifically USA kwa kutumia mbinu nyingi moja wapo ikiwa ni vyombo vya habari ku demonise Wachina, mbinu ya pili ni kuwatuma mawaziri kuja barani Afrika kuwazuga baadhi ya viongozi wa Afrika ambao are too whobly wana watisha tisha kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika,wanawasingizia mambo chungu mzima including kwamba lengo la wachina ni kuliweka bara zima la African under the so called debt trap huku wakijua hilo halina ukweli wowote ni ulaghai mtupu wenye lengo la kuwahujumu Wachina kiuchumi.

Wamerika na Waigereza ambao ni most vocal kuhusu ubaya wa ujio wa Wachina barani Afrika, wazungu hao wanajifanya kusahau kwamba bara la Afrika lilikuwa grossly under developed kutokana na mataifa hayo ku-plunder mali asili ya Afrika tangu enzi za ukoloni zikatumika kuendeleza mataifa ya Ulaya na Merikani, unyonyaji huu wa kishezi uliendelea hata baada ya bara lote kupata uhuru, wazungu walitumia mikopo yenye riba kubwa kwa kupitia World Bank kuwakomoa mataifa ya bara la Afrika - kumbuka share holder Mkubwa wa World Bank ni Serikali ya Merikani, mataifa ya kiafrika ambayo hayakuwa in good books na USA/Uingereza yaliwekewa masharti magumu na IMF ili uchumi wao uendelee kudidimia ili kuchochea raia wachukie Serikali zao wazipinduwe na kuweka mapuppet wa kulinda maslahi ya nchi za magharibi - ushenzi wote huo Waswahili wanajitia kuusahau na kuwachukulia Wachina ni binadamu wabaya sana na waporaji - wana wasema vibaya Wachina ambao wamejengea bara la Afrika,reli,barabara,madaraja,mashule,mahospitali,vyuo vya ufundi, infrastructure za mawasiliano nchini kwa ajili ya usambazaji wa networks za kampuni za simu, viwanda and what have you, ujenzi wa Hydroelectric Dams (Ethiopia, Uganda na Tanzania).

Tuwe wakweli hapa Wachina wamebadirisha muonekano wa bara la Afrika mpaka ukawa wa kisasa kabisa kimaendeleo na kiuchumi kinacho shangaza ni hawa baadhi ya waswahili ambao hilo hawalioni badala yake wana join band wagon ya mataifa ya magharibi kuikandia Uchina relentlessly.

Ukijaribu kuwa hoji waswahili wanaopinga ujio wa Wachina barani Afrika ili wakupatie takwimu Amerika iliwahi kujenga viwanda vingapi Tanzania, vyuo vingapi, hospitali ngapi pamoja na barabara ngapi tangu Tanzania ipate uhuru - hawana jibu
 
Kwenye biashara ya kuendesha bandari Duniani wanaofanya hizo deal wakiingia mikataba na serikali ambapo wao hujenga na kuwekeza vifaa ni hizi kampuni:-
Hao wachina walitaka waje kupitia Cosco ambayo hata serikali yao Ina hisa au hao wa Oman wanaodaiwa kutoa pesa wangewaalika ndugu zao DP World kutoka United Arab Emirates.

Hutchinson Port Holdings tayari tunao hapa Tanzania ndio wanaoendesha TICTS pale TPA. Hao DP World wanaendesha bandari ya Berbera huko Somalia.
 
Kama namuona mzee wa msoga akitabasamu huku akiangalia anacholima na kufuga, akicheza KIDUDE kwa furaha ya ajabu..
 
Tuwekee huo mkataba hapa na sisi tuusome wenyewe tuweze kuuchambua
 
Vyovyote itakavyokua huu mrad haufai na auna faida kwetu zaid ya wachache
 
Mikataba ya Acccia na Barrick ilianzishwa Magufuli hakuwa Rais, alipokuja iliirekebisha yote na fedha zilizoibwa na makampuni hayo kwa miaka yote zilirudishwa. Magufululi alikuwa Jasiri na Mjanja kwenye uongozi wake, Mikataba yote mibovu ambayo haina maslahi na hatari kwa usalama wa nchi na Uchumi wa nchi ulisimamishwa usiendelee tena kama huu Mkataba mbovu wa Bandari ya Bagamoyo. ikiwezekana mkataba huo wa Bandari ya Bagamoyo uundiwe Tume ya wanasheria upitiwe upya na kama kuna sintofahamu za kisheria ziondolewe na kuandikwa upya ili ujenzi uendelee kwa miaka ijayo.
Samahan ndugu ,je tumepata faida kias gan au kwa kias gan baada ya ayo marekebisho
 
Dah!Mimi huwa si mzuri kwenye siasa ndo maana sitoagi maoni saana kwenye hili jukwaa, ila kwakweli watanzania hatuna uzalendo, yaan mtu anadiliki kusaini mkataba wa chief mangungo wa msovero alio saini na karlpeters mpelelezi wa kijerumani kwasababu hajui kusoma na kuandika, leo hii mtu mwenye kujua kusoma na kuandika anasaini mkataba wa kisenge kama huu wa kudidimiza pato/maslahi ya taifa hili

Inaniuma sana kuongozwa na mbumbumbu wapumbavutu

Naipenda nchi yangu lakin wasenge wachache wananifanya niwe na chiki, wananifanya niwe mbinafsi, niwe mwizi,, niwe muhuni,

Anae saini mikataba kama hii anaachwa, anaye uza bangi anakamatwa na kufungwa miaka30 jela, dah!!

Mungu ibariki nchi yangu, wabariki raia wema, walaani na uwachome wasenge wachumia tumbo.
 
hii ingekuwa busara watz kama wabunge wataafiki tuingie front. Nasubili msimamo wa mama mzazi. Eti bagamoyo bandari ya dar ina matatizo gani.
 
Sina imani kabisa na serikali ya awamu ya sita

Tatizo ndani ya serikali unafiki ni mwingi sana, leo hii wanao msifia samia ni wengi sana kwakuwa inaonekana serikali yake ni dhaifutu.

Alisikika mwanaume mmoja akiwa amerika akisema
"Africa is a sithole country"

Nikwasababu usenge na uzwazwa, ubinfsi na kutokuona mbali, ulafi wa madaraka, rushwa, Kupenda ngono kuliko maendeleo, kupenda vya bure, yote yamejaa ubongoni mwa mijitu myeusi.

Naumia sana hakika maana naipenda saana nchi yangu.
 
Wewe ndio mwenye akili iliyolala ,Yule mtu alikuwa na roho mbaya na mbinafsi kwa akili yako ni kiongozi gani mpumbavu ambaye anaweza kukubaliana na mkataba wenye masharti ya kijinga kama ambavyo yeye alikuwa akiusema! Ni dhahiri alikuwa ni mtu aliyedhamiria kumpaka matope mtangulizi wake, kwangu mimi huyu mtu alikuwa ni mtu mbaya sana na hakustahili kabisa kuwa kiongozi kwani licha wizi mkubwa alioufanya katika kipindi kifupi lakini alikuwa mtu asidi,mfitini na mnafiki mkubwa tunashukuru tu Mungu kwa shani yake aliyoipitisha.

Acha maneno mengi weka huwo mkataba wako unaosema mzuri nje ya hapo wewe bendera fata upepo kama wengine...
 
Bandari ya Bagamoyo haitajengwa na wachina kwa mkopo.

Wanajenga mali yao wenyewe.

Mali ya china ndani ya tanzania kwa miaka 99.

Hakuna mtanzania ataruhusiwa kuingia pale kufanya lolote pale mbeganizhou ya Bagamoyo.

Nilichogundua huo mradi wa bandari ya Bagamoyo ni do or die project kwa wachina na serikali yao hakuna nchi yeyote inaweza kubali mkataba wa ajabu na wa kitapeli wa kutoa ardhi yake nzuri na kubwa kiasi kile iwe mali ya china ni tanzania pekee.

Kwa hiyo wachina watafanya lolote linalowezekana kihakikisha mradi huo wa kijambazi unafanikiwa.

Swali la kizushi makada, hivi kabla ya bagamoyo kuwa china itapigwa kura bungeni kupitisha au? Taratiibu zikoje? Najiuliza kama ni hivyo je wakipitisha hilo wabunge watakuwa wamewatendea haki wananchi? Kiasi cha kurudi kifua mbele 2025 kuomba kura?

Je, Chama kina msimamo gani juu ya hii biashara kichaa?


View attachment 1749463
Kwani JWTZ wanasemaje kuhusu hili!? It's about time watuambie wanaonaje kuhusu hii proposal coz kikatiba wao ndio Wana jukumu la kulinda ardhi na mipaka ya nchi.. unless kama nao hawajapewa copy ya mkataba..mwanasiasa ni raia kama the rest of us..jeshi lichukue jukumu lake hapa.
 
Mwendazake alikuwa Mpumbavu wa kiwango Cha lami. Mradi wa Bandari ya Bagamoyo una manufaa makubwa kuliko uwanja wa Chato, kuliko SGR kuliko Bwawa la Nyererere, kuliko Ndege zinazotafuna nchi hii.

Kama yeye ni rais na aliona mradi huu haufai ilipaswa aachane na ule mkataba aanze nao mkataba mpya au mkataba uboreshwe Kama ilivyokuwa kea ACCACIA na BARRICK .

Miradi Mingi ya Magu ni white elephant. Ni hadara kea taifa. Mradi huu Magu angeweza kuuendeleza kea kuanza upya mchakato Ili uwe na maslahi kwa pande zote mbili, yeye Kama rais alikuwa na uwezo huo.

Ila kwa kuwa alikuwa Hana akili akaufuta halafu anatumia matrion kutengeneza airport kijijini kwao na daraja la busisi porini kea mabilioni. The man was crazy
Huna akili
 
Nimemsikia Zitto, Easter matiku, Ndugai na wengine wengi wakuzungumzia mradi wa bandari ya Bagamoyo. Ninapopata ukakasi juu uwezo wa Hawa ni pale nimebaini hakuna mmoja Kati yao mwenye mkataba au aliyewahi kuuona na kuusoma akajua uzuri na ubaya wake. JPM aliusoma mkataba ule, Mama Samia anaweza akausoma ule mkataba,lakini haitatokea kwa bunge tulilonalo Ndugai Kama Spika akauona mkataba huo.

Tukumbuke hoja hapa siyo mradi au ujenzi hoja ni mkataba wa ujenzi, na JPM wakati anaukataa mradi huu alieleza kwamba mkataba haufai na wamejaribu kushauriana na china kuhusu kuubiresha mkataba hasa eneo la umiliki wa ardhi,muda wakuanza kurejesha faida,mgawanyo wa faida na muda wa mradi lakini mchina kakataa.

Je, hawa wanaotuaminisha ni mzuri wamesoma mkataba? Kama hawana huo mkataba wanatoa wapi nguvu yakusukuma hii agenda?
 
Montenegro wana deni la 1$bl ambalo waliingia na wa China na wameshindwa kulilipa. Wanalazimika kulipa ardhi yao yenye thamani hiyo🤔!
 
Back
Top Bottom