rugumye
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 561
- 179
- Thread starter
- #21
Natamani siku moja bahari iende Moshi, tuone kama jamaaa hawatajenga Bandari Kilimanjaro with a lot of reasons. Kila Mradi wa Umoja wa Mataifa unajengwa Arusha mbona hatulalamiki? Au hakuna Mikoa mingine yenye Ardhi ya kujengwa majengo hayo? Nawaambia kila Raisi wa kizazi cha sasa atakaye ingia madarakani kamwe hata acha kupendelea kujenga nyumbani kwao TUSIDANGANYIKE. KUMBUKENI KIPINDI CHA MAWAZIRI WAKUU KUTOKA KANDA YA KASKAZINI PAMOJA NA WAZIRI WAO WA FEDHA NA UJENZI KIPINDI HICHO ,KILA MRADI ULIKUWA UNAPELEKWA MOSHI mbona hatusemi. Hii dhambi ya JK waliianzisha Viongozi wanaotokea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha.
Wachina kuwekeza siyo dhambi, lakini lazima tuangalie vipaumbele siyo kuchezea resources huku deni tunalipa watanzania wote, Reli ya kati na Tazara zinakufa mizigo imerundikana bandarini, why tusitumie bandari Tanga kupunguza accumulation ya mizigo? sisi tuna bandari 3 Kenya wana 1 lakini wanatuzidi mapato kutoka bandari yao.