Bandari ya Bagamoyo ikijengwa CCM ijindae kwa adhabu pia

By the way malalamiko yako yalikuwa juu ya chuki ya wananchi dhidi ya serikali ya ccm, mtizamo wako unaona kuwa unaratibiwa na chadema. Suala la msingi hapa sio chadema kutopewa kura ila ni hao wananchi waliokupeni kura kujenga chuki dhidi yenu. Suala la kupewa ridhaa na wananchi kuongoza na kutangazwa mshindi ni suala jingine ambalo sina haja ya kulizungumzia. Lakini chadema kama chama, sidhani kama ulitegemea kukuungeni mkono. Kinachokusumbueni, sio wasemayo kama chadema, ila yale yanayofanya wananchi kukengeuka kukuungeni mkono! Na hapo ndio penye jambo!
 
Mbona mnapenda kupinga maendeleo bila kufanya tathmini? maana ukiangalia ujenzi wa bandari bagamoyo utasaidia sana katika kupunguza foleni za malori zisizo na maana katika jiji na pia itatoa fursa kwa wengine kupata ajira n.k.Ikumbukwe bandari ile haijengwi kwa manufaa ya mtu mmoja bali ni kwa nchi nzima hebu jamani tuwe tunajipanga na kauli zetu tuache ushabiki usiokuwa na maana. Mbona watu wa mikoa mingine kama rukwa na tabora hawajalalamika kujengwa kwa barabara za lami kila sehemu katika mikoa ya kaskazini ??bali walivumilia na serikali ikajipanga na sasa ndio inatekeleza miradi ile ktk mikoa hiyo ambayo kwa miaka na miaka wananchi wamekuwa wakiumia.Tuwe wavumilivu ndugu zangu watanzania
Zuzu linaona mkuu? acha tu wafanye watakavyo si watanzania kondoo? akupigaye kofi shavu la kushoto mgeuzie na la kulia. Reli ya kati hoi bin taabani, Mwakyembe anajaribu kuchacharika lakini mwisho ataishiwa nguvu tu.
 
------?
 
akili yako inawaza Dar tu
 
akili yako inawaza Dar tu

Unataka awaze na wapi katika suala la kujenga bandari? Basi washauri hao unaotaka baadaye waje kushika nchi watakapokuwa madarakani wajenge bandari ROMBO ama Karatu. Au unataka wajenge kwenu kigoma? Mimi nakushauri uwaongezee mawazo wajenge bandari Tabora.......!!!!!
 
MImi naunga mkono baada ya kusikiliza kauli za ma Dr na Ma prof wengi naamini hawa watatusaidia kamwe hakuna hata haja ni kuwapa sifa na heshima tujipe sisi tusiosoma sana. napenda pia kuchua fursa hii kuwashawishi wananchi kujua kwamba elimu ya form 4 na Form six kutokamna na mfumo wetu wa elimu ulivyo inatosha sana kujikomboa. kama tutapata fursa nyingine ya kutambua fursa na kuzitumia. yaani kujiunga na vyuo vya kati VETA na vyuo vingine vya ujasiriamali na nawahakikishia watawaajiri hawa ma Dr na Ma prof kwani hawajui fursa na wamebweteka na ngazi zao
 
Wananchi wameishaichoka CCM na sasa wanasubiri kuipa adhabu 2015,,,

Hata kama angejenga bandari pale Msoga, kichapo kutoka kwa watanzania kiko pale pale, watanzania tumeamua kwa dhati kuhakikisha CCM inazifuata KANU na UNIP

CCM wanajivunia sana kura kutoka kwa mama zetu na Dada zetu, sijui kwa nini katija jamii akina mama wanakumbatia hikichama. Tuwasome sana tukiona wana muelekeo wa kukipigia kura mbinu mbadala ni kuwaibia kitamburishi cha kupigia kura na kuvificha wiki moja kabla.
 
hahahahahaha tunafukua makaburi
 
Kumbuka maneno yako ya 2013 sasa tunajenga Airport Chattle. Hapo vipi? Uzwazwa wa watanzania ndo unatuponza. Elimu elimu elimu. Bila hiyo CCM itatawala milele ndo maana zilianzishwa shule za Kayumba ili 90% ya wabongo wabaki mazwazwa wa ndiyoooo. Angalia wale wanaoteuliwa viti maalum bungeni wanavyobehave na vigeregere vyao na zomea zomea zao. Wengi wao hawawezi hata kuongea kiingereza. Heri Musukuma na kibajaji walishajisemea ukweli.
 
Hold ooon acha kuzubaa mitikasi ikikataa, hold ooon........."sugu"
 
d du kumbe hata bagamoyo ilililamikiwa kama chato yajayo yanafurahisha
 
Nakubali
 
Mimi kazi yangu ni kuwakumbusha tu walle.mlioikataa Sasa hivi mnakubali na wale mliokubali Sasa hivi mnaikataa
 
Mi nafukua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…