makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
Tujinusuru sisi kwanza.. wanajeshi nao wanakula neema ya nchi. Katika keki ya taifa wao wanalambisha ile sukari, tabu kwetu tusiofaidi hata harufu yake.Hii nchi bila jeshi kutunusuru tumekwisha. It's time for the army to intervene.
Hapo wachina wanakwambia wanajenga bandari na wataitumia kwa miaka hamsini ndo wawaachie nyie.Bado ni mazuzu, kwa kuwa ujinga unafanyika tupo kimya, kuna dalili za ujinga kutokea hakuna hatua tunayochukua
SISI BADO NI MAZUZU.
Mfano mkataba huu upenye, ujenzi ufanyike katika kizazi chetu, wanetu(kizazi kijacho) wataona sisi tulifanya lipi la maana?
Kati yako na waziri Mwambe nani ana taarifa za ndani kabisa za mkataba huu? Au unabisha kuwa hayo sio maneno yake?Tuachwe kulishwa matango pori,eti ni mkataba wa ovyo kabisa, eti mbona mkataba wenyewe una manufaa mengi mno?eti Bagamoyo port itazuia uwekezeji katika bandari zozote mwambao wetu. n.k.Weka mkataba wenyewe hapa tuusome.Sisi the people ndio tutaamua
Hata huko bungeni tutapigwa, bunge mara ngapi imepitisha vitu vya hovyo..Mkataba uende bungeni
Hiyo win win haipo na haujawahi kuwepo. Jiulize tu ni mkataba gani tuliwahi kuingia chini ya serikali ya CCM ukawa na win win? Leo kimebadilika nini?Bandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.
Asilimia kubwa ya Wanyama pori wanauwawa na sisi Wananchi wenyewe,asilimia kubwa ya Miti inakatwa na sisi Wananchi wenyewe asilimia kubwa ya uharibifu wa mazingira tunafanya sisi Wananchi wenyewe.
Hata kusafirishwa kwa Wanyamapori kunakofanywa na Wanasiasa ni kiasi kidogo tu.
Tuache blame game halafu tujirudi.
Tusiisingizie Bandari ya Bagamoyo kuwa itasababisha Mbuga zenye Majangwa
Wauweke huu mkataba wazi ili tuone hauna makandokando.Hiyo win win haipo na haujawahi kuwepo. Jiulize tu ni mkataba gani tuliwahi kuingia chini ya serikali ya CCM ukawa na win win? Leo kimebadilika nini?
Sheria haziruhusu, Kuna vifungo vya kutodisclose mkatabaKwani Kuna ugumu gani kuweka hii mikataba hapa tusome wote?
Ni ajabu hajui Pangani ipo tangahuyo mpuuzi kwa hiyo hajui kama PANGANI ipo tanga? kweli tunaviongozi wa ajabu sana nchi hii.
Unajua kazi ya jeshi ni nini ? Ukisha toa mlango wa bandari kuwa chini ya watu binafsi jua wazi kuwa hapo kazi ya jeshi ni bosheni tu bandari ni mlango wa mpaka wa nchi sasa usalama wa taifa utakuwajeBandari ya Bagamoyo kama Mkataba utakuwa ni Win Win sioni sababu ni kwanini isijengwe.
Hakuna uhusiano wowote kati ya Jeshi na BandariUnajua kazi ya jeshi ni nini ? Ukisha toa mlango wa bandari kuwa chini ya watu binafsi jua wazi kuwa hapo kazi ya jeshi ni bosheni tu bandari ni mlango wa mpaka wa nchi sasa usalama wa taifa utakuwaje
Uweke wazi ili waumbuke?Wauweke huu mkataba wazi ili tuone hauna makandokando.
Kama wanaficha hizo Ten% zao sisi hatuzijali wao wauweke wazi tu ili tujiridhishe.
TPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hiiHakuna uhusiano wowote kati ya Jeshi na Bandari
Angalia Bandari ya Dar inaendeshwa na Makampuni ya kigeni kwa muda mrefu.
Jeshi lina Rada zake za kuangalia anga na Bahari
Osihofu ila ni vizuri Mkataba ukawekwa wazi.
Hiyo sheria ni yakifisadi kuficha mikataba ya kiuwekezaji ni ufisadi hiyo sheria ifutwe kwa mikataba ya uwekezajiSheria haziruhusu, Kuna vifungo vya kutodisclose mkataba
Wewe akili yako ni zero hata uwanja wa ndege unaopokea ndege kutoka nje lazima kuwe na majeshi na bandari zetu zina majeshi na usalama wa taifa unadhani kwanini au unadhani bandari ni kama shule katika nchi kuna maeneo ambayo yanalindwa zaidi kama bandari ,ikulu, mipaka ya nchi nkHakuna uhusiano wowote kati ya Jeshi na Bandari
Angalia Bandari ya Dar inaendeshwa na Makampuni ya kigeni kwa muda mrefu.
Jeshi lina Rada zake za kuangalia anga na Bahari
Osihofu ila ni vizuri Mkataba ukawekwa wazi.
TPA ni mamlaka ya bandari zote tz, jamaa kaongelea kuwaTPA inaendeshwa na makampuni ya kigeni? Haipo chini ya serikali? Ndio nimejua leo hii
Sasa hapa nani ni Mbishi?hata airport wanajeshi wapo japo wanavaa kama raia acha ubishi wa kijinga