wakaliwetu
JF-Expert Member
- Jul 16, 2020
- 671
- 1,143
Kunamahala viongozi wa Afrika wanashindwa kutumia uwezo wao wakufikiria wao wenyewe mpaka washikiliwe na watu wa nnje ya bara lao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mtu anakwambia hakuna mkataba uliosainiwa wala hakuna chochote kilichofanyika ila nenda katazame sasa hivi bagamoyo watu wanalipwa fidia kupisha ujenzi wa bandari, sasa watu wanalipwa fidia na nani na kwann kama mkataba bado?! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umemsoma waziri mwenye dhamana lakini au unabwabwaja tu hapa
Tutaanza kutazama video za magu kama nabii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wakampondwa na wengine wakamwambia anashauriwa vibaya
Labda pangan anayo isema ina patakikana mwanzahuyo mpuuzi kwa hiyo hajui kama PANGANI ipo tanga? kweli tunaviongozi wa ajabu sana nchi hii.
Tokea tupa Uhuru hata miaka 80 hatuja fika Leo tuna wapa ardhi na bahar wage wamiliki miaka 99Kikwete alikuwa kirusi kwa nchi hii.
How comes masharti kama hay yapo hapa nchini?
Akija mwigine akasema awekeze kwenye kilimo cha mpunga na hakuna mtu mwingine kulima kwa miaka tisini si tumekwisha?.
Wajukuuu wetu watatudharau sana. Maana bora sisi mababu zetu akina mkwawa at least walibishana hadi kifo na mkoloni kututetea wajukuu zao.Watu wakampondwa na wengine wakamwambia anashauriwa vibaya
Hapo alichofanya ni kuwa wajukuu waje warithi bandari na si vinginevyo ila hiyo bandari sisi haituhusu kwa namna yoyote. Maana hadi muda wa kuitumia ukiisha sisi ni long gone au ni wazee wa kutembea na fimbo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kikwete ni rais kilaza na mwizi ambaye Tanzania hajawahi kuwa naye. Aliangalia maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma.
Wewe tutarudi hapa miaka kadhaa utaikana hii comment ni swala la muda.Ndivyo mlivyodanganywa na wapinzani wa mradi...
Mkaambiwa kila aina ya uongo...
Wana-Propaganda wakatoa hadi mifano ya Bandari ya Sri Lanka...
Matokeo yake, leo hii kila mmoja anaongea lake kuhusu jambo lilelile na ni watu wa kutoka kundi lile..
Kwa mfano, Deusdedit Kakoko aliyekuwa Mkurugenzi wa Bandari yeye alisema "...naomba tuelewane manake watu wanachanganya sana. Tena wengine ni watu wakubwa sana. Bandari ile haitakuwa mshindani wa bandari zilizopo. Bandari ile ni kwa ajili ya export."
Now tell me: Wewe una kampuni ya kusafirisha mafuta, kwahiyo una tankers kibao kwa ajili hiyo. Unaanzaje kumwekea nongwa mmiliki wa mabasi wakati sio competitor wako?
In addition, wakati inasainiwa MoU (SIO MKATABA), serikali pia ikaingia mkataba na World Bank kwa ajili ya uendelezaji wa Bandari ya Dar es salaam. Sasa kama Mchina alitaka isijengwe bandari nyingine yoyote, how come tena Serikali iliingia mkataba wa uendelezaji wa Bandari ya Dar es salaam?
Hahaha, social networks haimaanishi kuwavunjia watu heshima au kuandika tu for the sake of kuandika! Mfano, mtu anasema ni wakati mwafaka sasa jeshi kuipindua serikali!!! What kind of nonsense is that? And wewe unashangilia na kufurahia sababu eti ni social networks!!!!!Nilijua tu watu kama nyiny hamuwez kujua faida ya kuikosoa serikali kupitia hizi social networks , Sasa kama unasubir mpaka dada yako ajitawanye ili shemeji yako afurahi ndio atoe matumizi ili wewe ule, uvae ununue bando unawezaje kujua umuhimu wa social networks?
Unamjua mwenye Jeshi au unajamba jamba tu hapa?Acha kufoka hovyo kama ng'ombe, andika kwa vituo.
Najua ukisikia neno jeshi kinyeo kinakucheza, unatetemeka mpaka visigino. Unaandika kwa miherufi mikubwa huku unatweta kwa majasho.
Maana wale jamaa hawana mchezo. Huwa wana namna nzuri mno ya kushughulika na wanasiasa legevu kama wewe. I always love it. It is refreshing and quite a good show.
We endelea kutafuna tu nchi kama nzige, let's hope you don't get crushed in the ass when the tables turn.
Enjoy the cake.
Stories za vijiweni huko Buguruni kwenu unakoishi, Nonsense....Huo mgao wa maji na umeme unatokana na mikakati ya kifisadi ya genge la watu wachache wasiozidi hata mia.
Maana gesi yetu imeuzwa yote kwa wachina. Madini yote yamekabidhiwa kwa wazungu. Miradi mikubwa ya umeme inahujumiwa ili mafisadi yapate mahali pa kutafuna.
Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo umewekewa masharti kwamba, wachina wataitumia kwa zaidi ya miaka hamsini wakikusanya mapato yote na kuyachukua, kisha ndipo wawakabidhi ninyi iwe yenu. Wewe unaona hilo ni jambo la mzaha?
Hili genge la mchwa linahitaji military intervention. An immediate military action to keep them at bay and hold them responsible without mercy.
Najua ukisikia jeshi unahisi kuhara. Unaandika kwa miherufi mikubwa kama unataka kukata roho.
We hara tu. Kama unafikiri utaendelea kuwa MWIZI siku zote, ni bora uanze kufikiri upya kabla haujachelewa.
Mimi mwenyewe nashangaa sasa huyo waziri ndiyo kasema nini mbona sasa ndiyo kathibitisha kuwa magufuli alisema ukweli .....au alikuwa anatumia mbinu ya kuthibitisha kuwa jpm ni mkweli ?
Lazima tulipie mfano mizingo ya jwtz, mizigo ya idara za serikal itabid kila idara ilipe galama kwa wachina kwa miaka 99Hakika kabisa, wakisha jenga mizigo karibu yote itapitia huko, utashangaa mbaka sisi wenyewe tukalipia garama za bandari kwa wachina kwenye nchiyetu wakati bandari zetu tunazo.
Tukisema maraisi ni wapumbavuu tuna ambiwa tumetukana sasa imefika hatua wawekezaji watakuja kusema wanafungua shamba la kufuga mifugo hivyo serikali ipige marufuku mtu mwingine yoyote kufuga !!!! Huu ni upumbavu ,vipi tuingie mikataba ya uwekezaji inayo zuia ushindani wa biashara???Kama wao wanajenga bandari Bagamoyo, Pangani inawahusu nini? Chonde chonde....Ni dhambi kama tutaanza kugawa ownership ya Tanzania vipande vipande kwa nchi za nje kwa kitu ambacho kinaepukika.
Huu mradi mbona unakomaliwa sana????
Magufur alisha kataa aliwaambia wananchi wa bagamoyo kama muekezaji ana taka ardhi aje aongee na wananchi waelewane bei na siyo kuitumia serikaliEneo la mradi serikali iwajibike kuwafidia wananchi watakaoondolewa halafu limilikshwe kwa mradi.
Na Wachina mishaara Yao kiduchu Bora wange kuwa mabeberuKwa maana mengine ajira za dar zipotee maana bagamoyo hizo ajira za maana waswahil hawatakaa wazione.na tukumbuke bandari itaendelezwa bila kuingiliwa na TRA au mamlaka nyingine
Samia yeye ni secretary tu pale ikuluSamia mwenyewe kavurugwa,hajielewi