crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,864
- 2,955
Hiyo ndoto yako haitakuja kutimia.Hii nchi bila jeshi kutunusuru tumekwisha. It's time for the army to intervene.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ndoto yako haitakuja kutimia.Hii nchi bila jeshi kutunusuru tumekwisha. It's time for the army to intervene.
Inakufa tu, sasa kama mizigo kila siku unachelewesha halafu kuna alternative ya barabara unadhani nini kitatokea.Hamna kitu kinaweza ua reli maana reli ni njia rahisi kusafirisha mizigo mingi na mizito.. barabara ni njia ya kusafirisha watu ila reli ni ya mizigo.
Wapi kasema kakubali?Eeeh kumbe Waziri Mwambe ni low thinker sana, yaani anakubaliana kabisa Dar hadi Pangani pasiendelezwe? 90% ya mapato ya Bandari zetu inatoka Dar, hivi kweli hata aibu Waziri huyu hana kusema hivyo kirahisi tu, eti Dar hadi Pangani pasiendelezwe? Kweli? OMG, hivi hawa watu akili zao zikoje jamani? Hv kweli unamleta mchina, alafu uache kuendeleza Dar hadi Pangani? Eeehh Mungu tusaidie jamani, plz, Mungu Baba tusaidie jamani, Eeeh Mungu Baba tunamkumbuka JPM kwa mambo kama haya. Noo, noo..!! 😢😢😢😢😢
Target yao ni hiyo bandari ya dar ife natural death tuhamie kwa mchina hata wasipo taja mtwara hiyo haina madhara kwanza itskuwa mbali na potential populationSERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe bandari''
Nimeona na kusikia maneno ya waziri Mwambe kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo na kilichosemwa sio Mtwara hadi Tanga bali ni Dar hadi Pangani.
Kwanza namkumbusha waziri Mwambe kuwa Pangani pia ipo Tanga.
Pia hata kama ni Dar hadi Tanga, pia sio masharti mazuri. Kwanini ndani ya nchi yako upangiwe uendeleze wapi na wapi usiendeleze?
Sababu waliyotoa ni kupata ushindani endapo bandari zitaendelezwa ukanda huo, Ila mbona wao wanakuja kuleta ushindani kwa bandari ya Dar?
Hilo lilikua moja ya sharti, vipi kuhusu mengine mbona waziri umekua kimya?
Na-support ujenzi wa bandari ila tutangulize maslahi ya taifa kwanza na naomba hata hayo masharti ya kutoendeleza Dar hadi Tanga msiyakubali.
Kazi iendelee
Hiyo ndo target yao kubwa mtwara hawana shida nayo maana haina potential population. Lengo bandari ya dar ifi natural death halafu kampun zetu zile za clearing and forwarding zihamia kwa mchinaKwa hiyo na bandari ya Dar es salaam ilikuwa kwenye zuio pia?
Job ndugai aje kutuonyesha kuwa magufuli alishauriwa vibaya
Kwa maana mengine ajira za dar zipotee maana bagamoyo hizo ajira za maana waswahil hawatakaa wazione.na tukumbuke bandari itaendelezwa bila kuingiliwa na TRA au mamlaka nyingineDar hadi pangani naana yake hata bandari ya dar isiendelezwe.
Yaani hatutakiwi tutengeneze ajira zingine zinazotokana na bandari kisa bandari ya bagamoyo!
Yeye China anaweza kukubali tuseme USA au nchi za magharibi zinazowekeza China zimuwekee masharti kana hayo?
Umemsoma waziri mwenye dhamana lakini au unabwabwaja tu hapaKama Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hautaathiri Maendeleo ya Bandari za Dar,Tanga na Mtwara sioni ni sababu gani inazuia isijengwe.
Hii ikifuatwa tutanufaika japo hata hao badae watageuka kua wanasiasa waliotolewa jalalaniKwa hiyo mkataba ilikuwa tayari.
Hayo mashariti ya wachina ameyaona wapi kama haukuwa mkataba?
Kuna umuhimu kila wizara iwe ina mpigia kura mtumishi ndio awe waziri,huu uhuni wa taaluma kuwa siasa ukome.
Tulikuamin ila kashindwa mapema sanahata yeye ajiuzulu nchi imemshinda mapema mno.
Unaakili sana ungekuwa karibu ungechoma nyama hata kilo moja .ukishaauwa bandari ya dar maana yake umeshashatrngeneza monopoly, tunajua kabisa hiyo bandari itakuwa na ufanisi na wa hali ya juu ikilinganishwa na bandari ya dar .kwa hiyo itapokea mizigo mengi sanaHii hoja ina uzito mkubwa katika biashara ya usafirishaji wa mizigo kwa meli kimataifa. Mwenye maamuzi ni mwenye meli wakati mwenye bandari anasubiri kupokea/kupakua tu mizigo.
Tunakubaliana kuwa China inaongoza katika biashara ya mizigo katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kusini na Kati. Hivyo, watakapomaliza kujenga bandari ya Bagamoyo upo uwezekano wa mizigo mingi kutoka China kupokelewa hapo Bagamoyo. Bila shaka itakuwa mizigo mingi kwa ajili ya Tanzania na majirani zake kama Congo DRC, Zambia na malawi. Kama hali itakuwa hivyo bandari ya Dar , kwa mfano, itapokea mizigo kutoka wapi kama siyo kufa taratibu. Bagamoyo inaweza kuwa "mtego wa panya" kwa bandari zote za Tanzania zikiwemo bandari za Zanzibar. Hii ni hoja ya kibiashara, ni busara tutafakari kwa kina.
Watu wakampondwa na wengine wakamwambia anashauriwa vibayaHayati magu alisha elezea mashart ya huo mkataba.
Alikuwa na fikira huyo aliyopo yupoje kwaniJeshi?
Uliwahi kuishi kwenye nchi inayotawaliwa kijeshi?
Hivi jeshi likitawala nchi hii utapata nafasi ya kuja kumkosoa kiongozi hapa?
Magufuli hakuwa mwanajeshi lakini alikuwa na fikra za kuzima mitandao ili asikosolewe.
Hali itakuwaje chini ya jeshi?
Basi Ulaya wasingewekeza kwenye reli kuna mizigo lazima ipitishwe kwenye reli mpafo magari mengi, madini na kadhalikaInakufa tu, sasa kama mizigo kila siku unachelewesha halafu kuna alternative ya barabara unadhani nini kitatokea.
Umaskini wako usisingizie watu wengine, Chapa kazi, Hizo ndoto za jeshi ondoa, siyo kwa TZ hii, kama unahamu sana kutawaliwa na jeshi hamia Sudan, Somalia, Yemen, Syria, Afghanistan n.k.! Hii nchi ni ya wastaarabu, UNACHOKITAMANI KITOKEE HAKITOKUJA KUTOKEA KAMWE, Kama yote yameshindikana kwako JinyongeUnaliogopa jeshi kwa sababu unajua watakubinya mbupu wakiamua kuwashughulikia wanasiasa uchwara.
Na itapendeza sana. Nyie vinyago mnaoitafuna nchii bila kuangalia mustakabali wa kizazi cha sasa na cha baadae ni vyema mkabinywa kweli kweli.
Gesi mmeuzia wachina, miradi mikubwa ya umeme mnaihujumu. Madini yote mmeuzia wazungu. HAPANA.
Hapa panahitaji dawa. Haiwezekani hatima ya nchi iangamizwe na kundi la watu wasiozidi hata mia moja.
Acha uzoba wewe, kuishi kwa shemeji kuna ubaya gani? Ushamba ukizidi ni mzigoUkute unaishi kwa shemeji yako
Kuhusu mradi bado A, B, C, D nyingi sana hazijulikani, ni ngumu kuupondea tu bila kuwa na base yeyote! Maamuzi mengi aliyokuwa anafanya JPM wasaidizi wake hawakuwa pamoja naye, ndiyo vile tu alikuwa anatumia ubabe na vitisho!!Pengine tatizo lililopo hadi watu wanatapika ovyo ni kutokana na namna viongozi wasivyokuwa na msimamo. Hawafanyi maamuzi Yao kwa maslahi mapana ya Taifa. Ni ajili ya kawaida kuona viongozi wanayumba. Huu mradi wa bandari ya Bagamoyo utaajengwa, haifanyiki kwa maslahi ya Taifa.