nyengella
Member
- Aug 13, 2015
- 70
- 79
Pengine tatizo lililopo hadi watu wanatapika ovyo ni kutokana na namna viongozi wasivyokuwa na msimamo. Hawafanyi maamuzi Yao kwa maslahi mapana ya Taifa. Ni ajili ya kawaida kuona viongozi wanayumba. Huu mradi wa bandari ya Bagamoyo utaajengwa, haifanyiki kwa maslahi ya Taifa.Kwa lipi hilo hadi jeshi liingilie kati? Ukishashiba ugali ni rahisi sana kuja kutapika hapa JF, Ni wakati sasa Samia apige pini hii mitandao ya jamii kama mtangulizi wake, watapikaji (bila ushahidi wowote) wamekuwa wengi sana, jobless....
Kwanza una masharti yenye kuzuia uendelezaji wa bandari zilizopo ( hapa kwa tushindanishe bandari ya Dar es salaam au Tanga- Pangani), wakati zote zipo chini ya TPA?
Lakini tunayo tayari bandari ya Dar. Bagamoyo na Dar es Salaam ni ukanda mmoja.
Pili ieleweke kuwa wakati kiongozi mmoja (Hayati JPM), anaukataa mradi huu pamoja na sababu alizotoa, wapo viongozi waliopo madarakani leo, walikuwa na JPM, na hawakusema lolote. Huu unaitwa usaliti. Viongozi wasaliti wanakosa imani kwa wananchi.