Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia avunje baraza la mawazirihuyo mpuuzi kwa hiyo hajui kama PANGANI ipo tanga? kweli tunaviongozi wa ajabu sana nchi hii.
hata yeye ajiuzulu nchi imemshinda mapema mno.Rais Samia avunje baraza la mawaziri
Na bandari ya Dar ivunjwe ndicho anachotaka kusema?Nimeona na kusikia maneno ya waziri Mwambe kuhusu ujenzi wa bandari ya bagamoyo na kilichosemwa sio Mtwara hadi Tanga bali ni Dar hadi Pangani.
Hiyo barabara ilijengwa kabla ya TAZARAnchi za Magharibi wakaja wakatia fitna na kufadhili ujenzi wa barabara ya Dar - Tunduma; mwisho wake imeua TAZARA.
Kule yupo msukuma Sasa huo mkataba utaekeweka kweliMkataba uende bungeni
Kamati zitapitia na kuiweka kwenye lugha rahisiKule yupo msukuma Sasa huo mkataba utaekeweka kweli
Historia ya TAZARA ni ndefu zaidi.Hiyo barabara ilijengwa kabla ya TAZARA
The Tanzam Highway leads from Lusaka in Zambia to Dar es Salaam in Tanzania. The highway was built from 1968 to 1973 in several stages and was intended to provide seaport access for Zambia and to expand the transport options for Zambia, Malawi and the then Zaire....
Sasa maana yake ukiacha kutumia ya Dar au Tanga lazima uende Bagamoyo, kwani ya Mtwara haina Reli na pia ni Bandari iliyokuwa inapata Meli chache.SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe bandari''...
Dar hadi pangani naana yake hata bandari ya dar isiendelezwe.SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI
Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno sijui yalitoka wapi, kilichosemwa ni kwamba kuanzia Dar es Salaam hadi Pangani kusiendelezwe bandari...
Jibu ni CCM1960 Omani kulikuwa na Barabara ya lami kilomita 40 tu Nchi nzima, walikuwa ni Masikini wa kutupwa na waliponyang'anywa Zanzibar ndio wakazidi kuwa zoflehali.
Leo hii wametuacha mbaali sana,swali langu hivi tumelaaniwa na nani?
Unakubali masharti hayo anayosema waziri kuwa tusiendeleze dar Hadi Tanga?Magu alikuwa na maslahi binafsi na chuki na bandari ya Bagamoyo,bora wamemuumbua.
Ndio maana ya majadilianoUnakubali masharti hayo anayosema waziri kuwa tusiendeleze dar Hadi Tanga?