Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

LUKAMA

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,117
Reaction score
1,343
Jamani kwema

Hayati Magufuli alikuwa ana mapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyohusu maslahi ya taifa alikuwa mkali kupitiliza, alijitahidi kuboresha miondombinu kila idara majini (bandari zote), nchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢 kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

Rest easy Jembe

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Mapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Bro unajua banadari inakusanya kiasi gani kwa siku unajua miondombinu kuanzia system za makusanyo nenda operation pale bandari dar enzi za JK kalinganishe na Jiwe utakuja kushukuru jiwe mara 100000 acha ushabiki
Najua unaongea upo matopeni huko njoo mjini utaelewa mambo yanavyoenda
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Si walimuuta dikteta,hashauliki sijui na mavitu gani gani huko...tuliposema tabia za waTanzania maofisini ni za kishenzi zinadhulumu haki ya wanyonge,wakapaza sauti kwamba mzee hafai,tukawaambia anakomesha ufisadi na unyonyaji hawakusikia, ukabila na ukanda ukaenezwa pote nchini na hasa watu wa kaskazini, wakalishikia bango kwa sababu tu mwamba ni mtu wa lake zone,kazi alizokua anazifanya na madudu aliyokua anayavumbua kama angekua ni mkaskazini angesifiwa kila kona, haikuishia hapo hata kifo chake jamii ina mashaka makubwa, sasa tulieni mliowashabikia na kudhani ni marafiki wa wanyonge wafanye yao,acha watu wakome.
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢 kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Maji tutaita mma
 
Roho inauma hadi sio poa tunarudi enzi za Jk nchi kuwa shamba la bibi
 
Bora utulie akili za kimaskini sisi tuliopo kweny system tunajua magufuli alikuwa Bora kuliko raisi wote hata pale bandari mapato yalikuwa juu .... Kingine jitambue wale walioingia kweny system kipind cha jiwe walikuwa Wana uwezo tangu afariki michezo ya ovyo imerudi

Jiwe alikuwa anaiba kimpango wake ila sawa wanagawana watu kibao kaaa kwa kutulia hujui kitu kima wa blue !!!
Uko kwenye system ya window xp mkuu wakati watu wako window 11
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Magufuli alikuwa muongo sana akuna ata jambo moja naliliamini kwa magufuli
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢 kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Sio kila jambo atajwe jiwe...Mambo ya uwekezaji yana namna yake,,,
 
Back
Top Bottom