Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Kuna maeneo ya usalama wa taifa ndani yake.
Bandari, umeme, reli, viwanja vya ndege.
Kumpa mwekezaji wa nje ni sawa na kuuza nchi tu.
Tukubali, tukatae huwezi mpa mtu bandari eti anawekeza!!
Ni ujuha
 
SAMIA gawa kila kitu,binafsisha kila kitu mie bakuunga mkono kwa 100% Fanya vyovyote uwezavyo-ili siku 1 tupate akili tutoke usingizini,Watanzania temelala sana mpaka tumekuwa malimbukeni.
 
Kuna maeneo ya usalama wa taifa ndani yake.
Bandari, umeme, reli, viwanja vya ndege.
Kumpa mwekezaji wa nje ni sawa na kuuza nchi tu.
Tukubali, tukatae huwezi mpa mtu bandari eti anawekeza!!
Ni ujuha
Juha ni we we na wenzako mnaoana hayo yote yakitendeka pasipo kufanya chochote.
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Kazikwe nae mfyuuu, sjui umeandika nini kwanza
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Idala× Idara✓

Halafu taarifa haina nyama wala source sasa tutaamini vipi kama siyo umbea wako tu umeamua kuutunga.
 
Sema tu kua Bandari inataifishwa...tumeanza sikia zachini chini, na niwatu wengi watakosa Ajira, wengine kuhamishwa kupelekwa Maeneo mengine
 
Bogus anaweza kuwa Waziri kwa miaka 20 na Rais wa nchi? Yaani ukichukua CV yako na ukoo wenu wote hakuna wa kumfikia JPM.Yule alikuwa na akili ya ziada nje ya Elimu yake,kama huna akili hiwezi kumuelewa mwenye akili.Punguza mihemko,Pambana na wewe uijengee heshima familia yako siyo kujadili watu waliokuzidi kwa kila kitu.
Wewe umefanya kipi kwenye hili Taifa kumzidi huyo Bogus president 🤣🤣🤣
Alipokiwa Waziri hukumbuki alivyoitia hasara Tanzania kuhusu samaki

Umeshasahau kuwa aliziuza nyumba za serikali alipokuwa Waziri

Kuwa waziri haina maana kuwa Magufuli alikuwa hodari,inawezekana alikuwa hodari wakuchagua watendaji kazi mahodari..

Magufuli alikuwa Bogus President
 
Wewe ni mjinga,wewe umefanya kipi kumzidi 🤣🤣🤣
 
Kwenye taifa lolote kinakua na kiongozi mwanzilishi ambae sifa zake mawazo fikra mitazamo na heshima hudumu kizazi na kizazi kwenye lile taifa.

Lakini pia kwa nyakati tofauti hutokea kiongozi mwandamizi wake ambaye naye kama yule kiongozi wa mwanzo hudumu kwenye lile taifa kizazi na kizazi.

Nikama hapa kwetu, hakuna binadamu anae sahulika mapema kama alikufa.

Nyerere ana mwaka karibu 23 kaburini haijasahaulika bado hata walio zaliwa miaka ya 2000 wanamjua.

Kadhalika na Magufuli japo amekufa miaka karibu 2 sasa lakini atadumu kwenye fikra za wana taifa hili kizazi na kizazi, watajaribu kumfunika kadri wanavyoweza lakini atakumbukwa tu kwamba kuliwahi kutokea kiongozi aliye hudumu kwa miaka 5 lakini athari alizoacha ni kubwa kuliko muda aliohudumu.
 
Back
Top Bottom