Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

We zubaa watu wa bandari ndo wanajua nn kinafanyika kaa kwa kutulia ni mda wa kuingia kazini mda wa kutaka na kuwahi kutoka na safari kila siku maana per diem zimepanda.

Sawa wapo kwenye nchi yao! Shida nn
 
Enzi za JK almanusura CCM ianguke... Ashukurikwe Mkapa aliokoa jahazi...

Yetu macho......

Huko bandarini nasikia kampuni ya TICKS (sijui nimeandika vizuri..??) Wamerudi kwa kasi ya 4G.....

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

Usipende story za kuambiwa! TPA NA TICTS kwenye utendaji mzur ni TICTS wana vifaa vya kisasa,ishu ya ukaguzi TPA ni janga kuwekewa container chini upambane sana,unaambiwa mashine ipo inashusha mzigo wa meli!

TPA kupata invoice kwa ajili ya malipo ni ishu mpaka ukaonge pesa imelalamikwa mpaka sasa ndio wameweka system sawa hili suala lina miaka 7 au 8 linalalamikiwa miez 6 hii au mi5 ndio kidoogo invoice hazisumbui

Wakat TICTS ukituma email ku submit document unapata chap charges zao ila nao wana changamoto za upakiaji ila kwenye documentation wako vizur

Kifupi tupo Africa na mambo yanayofanyika ni ya KIAFRICA

TPA kutoa gari ni ishu inapita sehem kibao wakati ushalipia kila ktu ikibid unachukua siku nzima kutoa gari !

Ticts inabid iwepo kutoa changamoto kwa TPA vinginevyo ni balaaa

TPA local sana kazi zinafanyika kwa mihemko

Naongea kama Agent
 
The most extreme dangerous,bogus President Tanzania ever had..

Thank you God for what you have done to him...
Bogus anaweza kuwa Waziri kwa miaka 20 na Rais wa nchi? Yaani ukichukua CV yako na ukoo wenu wote hakuna wa kumfikia JPM.Yule alikuwa na akili ya ziada nje ya Elimu yake,kama huna akili hiwezi kumuelewa mwenye akili.Punguza mihemko,Pambana na wewe uijengee heshima familia yako siyo kujadili watu waliokuzidi kwa kila kitu.
Wewe umefanya kipi kwenye hili Taifa kumzidi huyo Bogus president 🤣🤣🤣
 
Bora utulie akili za kimaskini sisi tuliopo kweny system tunajua magufuli alikuwa Bora kuliko raisi wote hata pale bandari mapato yalikuwa juu .... Kingine jitambue wale walioingia kweny system kipind cha jiwe walikuwa Wana uwezo tangu afariki michezo ya ovyo imerudi

Jiwe alikuwa anaiba kimpango wake ila sawa wanagawana watu kibao kaaa kwa kutulia hujui kitu kima wa blue !!!

Kwa taarifa yako hayo mapato yaliongezeka kwa kudai madeni kwa madeni ya kampuni

Walizifungia Kampuni za Clearing kwa kuzilazimisha zilipe madeni kwani kunasemekana kulikua na kampuni hazikua zinalipa HANDLING NA WHARFAGE na hyo ilitokana na baadhi ya waajiriwa wa TPA kutokuwa waaminif ila sio wte

Baadh ya kampuni zilikua zinadaiwa wakat zenyewe zina evidence kwamba hazidaiwi,invoice walizorudishiwa kwa kuambiwa hawakulipia wao walikua na receipt za TPA na TPA kusema hawazitambui hizo receipt ni fake

Hiyo ishu akaja kuimaliza Mh Wazir Mkuu Majaaliwa kuruhusu kazi ziendelee kwa maana kampuni zote zilisitishiwa huduma wakat huo wagen waliofuata magar yao wapo mahotelini wakisubir magar yao

Baada ya hapo hakukuwa na takwimu za mwisho wa mwezi kwa maana hakukuwa na wa kumdai na ikafika kipindi mapato ya TPA yakashuka kwa kuwapoteza wateja

Walileta formula ya mizigo ya TRANSIT ilipe VAT hapo ndio ikawa balaa mtu mwenye entry nyingi au kubwa walikimbia Bandari yetu mfano Meli ya mbolea ikapotea kabisa

Bora now wame advance kwa mfumo wa GEPG
 
Bro unajua banadari inakusanya kiasi gani kwa siku unajua miondombinu kuanzia system za makusanyo nenda operation pale bandari dar enzi za JK kalinganishe na Jiwe utakuja kushukuru jiwe mara 100000 acha ushabiki
Najua unaongea upo matopeni huko njoo mjini utaelewa mambo yanavyoenda
Wewe yawezekana ni mwamafunzi uko field. Unaposema nena pale "operation bandari" unamaanisha nini? Unajua operations bandarini kazi yao ni nini? Unajua hata makusanyo ya mapato sio kazi yao?

Kwa kukusaidia tu operations inamaanisha utekelezaji, sio ukusanyaji wa mapato....
 
Magufuli alikuwa muongo sana akuna ata jambo moja naliliamini kwa magufuli
Sasa kama Rais alithubutu kuingia bandarini na kuzuga kuokota vichwa vya treni visivyo na mwenyewe unategemea nini? Nani ataagiza vichwa vya treni wakati hana reli? Na kibaya zaidi asivyo na aibu vichwa vyenyewe alivyookota tayari vina chata ya TRL


Majinga yakashangilia jembe kafanya makuu.... kumbe sinema za kitoto tu
 
Bora utulie akili za kimaskini sisi tuliopo kweny system tunajua magufuli alikuwa Bora kuliko raisi wote hata pale bandari mapato yalikuwa juu .... Kingine jitambue wale walioingia kweny system kipind cha jiwe walikuwa Wana uwezo tangu afariki michezo ya ovyo imerudi

Jiwe alikuwa anaiba kimpango wake ila sawa wanagawana watu kibao kaaa kwa kutulia hujui kitu kima wa blue !!!
Upo kwenye system acha propaganda za kishamba
 
Mimi nisiyajue? Unataka nifunguke hapa ili nimfaidishe nan? Huna akili
Acha hamaki...

Kubali utulie. Huu ujuaji wenu ndio unasababisha mikwamo kila mahali. Wewe mwerevu na mwenye akili mbona unashindwa kutoa majibu ya kueleweka umebaki kunishambulia tu. Hovyo sana nyie wanasiasa
 
Hizi fununu zinaendelea kusambaa kama moto nyikani.
 
Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani

Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli 😢😢😢😢 kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji

rest easy Jembe
Acha kuleta habari za uongo huku.
 
Hata Mimi kifo cha Magufuli kiliniumiza sana lakini haisaidii kuendelea kumlilia mtu ambaye tunajua hatarudi tena.Toa ushauri tufanye nini?.kulalamika hakusaidii kitu.
 
Katika lipi alikuwa muongo
Fungua TV yako fuatilia uchaguzi wa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 linganisha na yaliyotokea hapa 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 2020 ndo utajionea uhuni wa mwendazake. 😂😂😂😂
 
Najua Mtanikumbuka Siyo Kwa Mabaya Lakini Mazuri
Mzilankende Mnyago,Jiwe, Chuma, Ngosha, Baba Jesca



Aliweza Sehemu Yake!!!
Hakuna lolote la maana alilotufanyia,rais mbovu zaidi kuwahi kutokea tz,apumzike kwa amani,tunamshukuru Mungu kwa kusikia vilio vya watu wake na kumuondosha mapema!
 
Back
Top Bottom