Johnson Fundi
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 1,386
- 1,207
subiri mkataba uwekwe bungeni,utakuwa public document, ukiihitaji utaipata mradi ufuate utaratibu na kulipa ada. hauwezi kuwekwa humu JFKama kina masilahi hivyo mbona tunafichwa fichwa vitu sio open