Bro unajua banadari inakusanya kiasi gani kwa siku unajua miondombinu kuanzia system za makusanyo nenda operation pale bandari dar enzi za JK kalinganishe na Jiwe utakuja kushukuru jiwe mara 100000 acha ushabikiMapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Nakuja mkuuNajua unaongea upo matopeni huko njoo mjini utaelewa mambo yanavyoenda
Si walimuuta dikteta,hashauliki sijui na mavitu gani gani huko...tuliposema tabia za waTanzania maofisini ni za kishenzi zinadhulumu haki ya wanyonge,wakapaza sauti kwamba mzee hafai,tukawaambia anakomesha ufisadi na unyonyaji hawakusikia, ukabila na ukanda ukaenezwa pote nchini na hasa watu wa kaskazini, wakalishikia bango kwa sababu tu mwamba ni mtu wa lake zone,kazi alizokua anazifanya na madudu aliyokua anayavumbua kama angekua ni mkaskazini angesifiwa kila kona, haikuishia hapo hata kifo chake jamii ina mashaka makubwa, sasa tulieni mliowashabikia na kudhani ni marafiki wa wanyonge wafanye yao,acha watu wakome.Jamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji
rest easy Jembe
Ipo siku utakuja kujiona cowdung kwa hii kauli yakoMapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Maji tutaita mmaJamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli π’π’π’π’ kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji
rest easy Jembe
Roho inauma hadi sio poa tunarudi enzi za Jk nchi kuwa shamba la bibiSi walimuuta dikteta,hashauliki sijui na mavitu gani gani huko...tuliposema tabia za waTanzania maofisini ni za kishenzi zinadhulumu haki ya wanyonge,wakapaza sauti kwamba mzee hafai,tukawaambia anakomesha ufisadi na unyonyaji hawakusikia, ukabila na ukanda ukaenezwa pote nchini na hasa watu wa kaskazini, wakalishikia bango kwa sababu tu mwamba ni mtu wa lake zone,kazi alizokua anazifanya na madudu aliyokua anayavumbua kama angekua ni mkaskazini angesifiwa kila kona, haikuishia hapo hata kifo chake jamii ina mashaka makubwa, sasa tulieni mliowashabikia na kudhani ni marafiki wa wanyonge wafanye yao,acha watu wakome.
Uko kwenye system ya window xp mkuu wakati watu wako window 11Bora utulie akili za kimaskini sisi tuliopo kweny system tunajua magufuli alikuwa Bora kuliko raisi wote hata pale bandari mapato yalikuwa juu .... Kingine jitambue wale walioingia kweny system kipind cha jiwe walikuwa Wana uwezo tangu afariki michezo ya ovyo imerudi
Jiwe alikuwa anaiba kimpango wake ila sawa wanagawana watu kibao kaaa kwa kutulia hujui kitu kima wa blue !!!
We zubaa watu wa bandari ndo wanajua nn kinafanyika kaa kwa kutulia ni mda wa kuingia kazini mda wa kutaka na kuwahi kutoka na safari kila siku maana per diem zimepanda.Uko kwenye system ya window xp mkuu wakati watu wako window 11
Uko kwenye system ya window xp mkuu wakati watu wako window 11
Mchepuko ulisikika ukilalamaMapungufu ya Jiwe yalikuwa ni hatari na yalikuwa yakilipeleka taifa la Tz kwenye hasara kubwa kuliko hata hasara ya bandari zote kupatiwa mjomba wake Samia wa kule Oman
Wewe uharibifu ulifanyiwa huko kwenye nsonyo. Huna akiliMagufuli alikuwa hastahili kuwa Rais wa nchi. Uharibifu alioufnya vichwani mwa Watanzania itachukua miaka mingi kuufuta
Magufuli alikuwa muongo sana akuna ata jambo moja naliliamini kwa magufuliJamani kwema
Jiwe alikuwa anamapungufu mengi ila kwenye vitu vinavyo vinahusu masilai ya taifa alikuwa mkali kupitiliza alijitahidi kubolesha miondombinu kila idala majini (bandari zote), inchi kavu na angani
Masikini Jiwe ameondoka watu wanaanza kugawana na wajomba zake kweli [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22] kwenye ajira watu wengine wataumia wengine watanufaika, system za mapato zote anapewa mtu sisi tunageuka kuwa ndugu watazamaji
rest easy Jembe
Sio kila jambo atajwe jiwe...Mambo ya uwekezaji yana namna yake,,,Jamani kwema