Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dar es Salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo.

Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu, lakini kwenye utawala wa Hayati Magufuli ilipanuliwa na sasa ina uwezo wa kupaki meli yenye urefu wa zaidi ya mita 200 hivyo kushusha na kupakia makontena mengi zaidi.

20230614_084819.jpg
 
Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dares salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo.
Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu ,lakini kwenye utawala wa Hayati Magufuli ilipanuliwa na sasa ina uwezo wa kupaki meli yenye urefu wa zaidi ya mita 200 hivyo kushusha na kupakia makontena mengi zaidi.View attachment 2656803
Mbona mapema hivyo!
 
Ungeleta idadi ya containers inao shushwa sio urefu ma meri inao paki, dar bado haijafikia mombosa mimi ni mdao wa hizo bandari zote mbili, acheni uongo wa kuona kwamva mama kuleta wawekezaji kakosoa.
 
Yaipiku kwenye nini?

Bandari ya Mombasa hutoa mizigo kwa haraka na wingi kuliko Dar

Dar meli hukaa nangani siku 5 wakati Mombasa ni Siku 2

Kupakua mizigo Mombasa hutumia siku 1.5 wakati Dar hutumia siku 4-5

Mapato Mombasa hupata zaidi kuliko Dar

Mombasa mwaka jana walipitisha Makasha Milioni 1+

Dar haijawahi fikisha Laki 8
 
Uko nyuma ya wakati, unasoma takwimu za mwaka 2014, nenda kasome za kuanzia mwaka 2021
 
Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dares salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo.
Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu ,lakini kwenye utawala wa Hayati Magufuli ilipanuliwa na sasa ina uwezo wa kupaki meli yenye urefu wa zaidi ya mita 200 hivyo kushusha na kupakia makontena mengi zaidi.View attachment 2656803

Hii ni future, past or present tense? Uwekezaji umeshafanyika? Aisee bora kuishi hata Congo
 
Yaani bandari tumeuza milele kwa shilling trillion 1 tu,
 
Bandari ya wajomba sio yetu tena, wacha kushangilia ujinga.
 
Hapo ni bashraf tu ya uwepo wa DP world toks wasanzuke ticts, bado mziki kamili utaanza kelele za wapinga maendeleo zikinyamaza.
 
Back
Top Bottom