Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Bandari ya Israel ya kusini ambayo iko kwenye bahari nyekundu imeshambuliwa kutokea upande wa mashariki.
Kikundi cha kivita ndani ya Iraq kimetoa tangazo la kuhusika na shambulia hilo ikisema ilipiga jengo muhimu walilolikusudia.
Bandari hiyo ambayo kwa sasa iko karibu kufungwa kutokana na kukosa meli tangu pale wapiganaji wa Houth wa Yemen walipoanza kuzuia meli za Israel kupita eneo lao.
Hii si mara ya mwanzo kushambuliwa kwa makombora mara nyingi ikiwa ni kutoka kwa wapiganaji hao wa Houth.