Bandari ya Eliat ya Israel yashambuliwa kutokea Iraq

Bandari ya Eliat ya Israel yashambuliwa kutokea Iraq

Hawa Maayatola wakifanikiwa kutengeneza Mabomu ya Kinuklia watayasambaza kwa Fanaticts kwenye Nchi za Iraq Yemen Lebanon na Syria na who knows fanatics wataanza Jihaad huku Afrika ya Mashariki kwa kutumia silaha za maangamizi ya halaiki.

Ngai Yahwe Allah Amun RA watuepushe na hawa MaAyatolah.
Hamna Shia gaidi , acha ujinga
Iran ni nchi ya washia , na proxies zao ni za washia ,hebu nionyeshe gaidi wa kishia
Tatizo watu hamfuatilii mambo vizuri
 
Eliat kuna bandari na pia ni mji mkubwa.Muhimu ni kuwa kuna mifumo ya ulinzi wa anga na imeshindwa kuzuia hicho kikombora kutoka Iraq.
Israel kama inataka kuendelea kuwepo ni muhimu ikubaliane na maazimio ya UN na iishi kwa ujirani mwema na wenzao hapo mashariki ya kati.
Wakiamua kufanya ubabe kwa kutegemea misaada kutoka US basi haitachukua muda watashindwa kuzuia upinzani dhidi yao
Russia kila siku inatandikwa kwa drones tena siku hizi zinatembea had 1000km ndani ya Urusi licha ya Urusi kua na mifumo ulinzi ya kila aina.
 
Kumbe ni mdini sana wewe, hapo mwanzo sikujua
Wewe ndo mdini tena wale wa kulazimisha kila mtu awe upande wa Allah maana issue ya Zanzibar Kwa wakristo kula ulitoa michango ya kufuarahi Sana kupigwa kwao
 
Russia kila siku inatandikwa kwa drones tena siku hizi zinatembea had 1000km ndani ya Urusi licha ya Urusi kua na mifumo ulinzi ya kila aina.
Maana yake ni kuwa vita vya kisasa hakuna bingwa ya kujilinda.Israel imejitengenezea maadui wengi na itapigwa hata kama ina silaha na miundo ya kuiulinzi wa anga.
Imezungukwa na maadui pande zote.
 
Hamna Shia gaidi , acha ujinga
Iran ni nchi ya washia , na proxies zao ni za washia ,hebu nionyeshe gaidi wa kishia
Tatizo watu hamfuatilii mambo vizuri
Waliolipua Ubalozi wa Israel huko Argentina walikuwa ni Magaidi wa Shia Islamic Republic na Magaidi wa Kataib Hezbola Iraq ni Magaidi wa Kishia.
 
Back
Top Bottom