Bandari ya Kasanga, Ziwa Tanganyika...

Mkuu navyojua eastern congo ina mizigo mingi sana wewe angalia bandari tatu zinahudumia eastern congo ambazo ni dar,durban,port beira na angalia ile folen ya kasalumbesa border ya zambia na congo
Kumbe kuna miundo mbinu flani flani tz ikiboreshwa kuna uhakika wa Congo kutumia bandari ya dar peke yake.na tz kama nchi tukawa na mteja(Congo) mkubwa muhimu sana.ila mpaka mazingira kama bandari na miundo mbinu pamoja na tozo zikiwekwa vizuri ili kuwavutia hawa majirani wapitie zaidi kwetu.
 
Shukran sana mkuu.Lakini mizigo mingi ya Goma inayotoka TZ inapitia Rwanda.
kwa hiyo mizigo ya Goma kwa transsit kupitia rwanda itapungua?

Probably, hapo itategemea na transporter na regulations za transportion kwenye kila nchi. Maana logistics mara zote ina angalia ku cut down costs na ku optimize profit.
 
Ingekuwa ni Kenya, kwa spidi tunayo ya kutafuta opportunity, tayari tungekuwa tumejenga bandari hio miaka za nyuma. Sasa hivi tungekuwa tunapata pesa ndefu. Hata Congo tungewajengea bandari na kuwaruhusu kulipa mkopo polepole.
 
kuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before
Elezea hii mkuu
 
Kama mlivyochangamkia fursa ya kujenga Lamu port, bila kusahau fursa ya SGR to Uganda ili kumfunga UG kwa port ya Msa
 
Mjenge bandari wapi na kwa hela zipi na kwa cargo ipi
Nimesema tu kama ingetokea kuwa Kenya na Congo tunapakana. Lakini kama ujuavyo, Congo na Kenya hatuna mipaka pamoja. Halafu nyie kwa uzembe, bado hamjajenga bandari hio baada ya miaka hamsini.
 
Nimesema tu kama ingetokea kuwa Kenya na Congo tunapakana. Lakini kama ujuavyo, Congo na Kenya hatuna mipaka pamoja. Halafu nyie kwa uzembe, bado hamjajenga bandari hio baada ya miaka hamsini.
Kiukweli tulichelewa mno tunazungukuwaa na inchi almost 8 so tuko very strategic iwapo tutaitumia nafasi yetu vzuri kijografia basi 2030 tunaingia high middle income GNI 3500-40000 jemedari wetu John pombe magufuli anatuvusha mapema mno
 
Ukweli ulio wazi bila Magufuli sioni tz ya uchumi mkubwaa huyu Raisi huwa nakaaa namsikiliza yani yuko very strategic na pia mzalendo na anatuvusha so napata wasiwasi akiondoka tutarudi nyuma tena wewe angalia alivyotuvisha kwenye hili janga la corona na ona miradi ya kimkakati yani magufuli i salute you Mr President 🙌🙌🙌🙌
 
Kiukweli tulichelewa mno tunazungukuwaa na inchi almost 8 so tuko very strategic iwapo tutaitumia nafasi yetu vzuri kijografia basi 2030 tunaingia high middle income GNI 3500-40000 jemedari wetu John pombe magufuli anatuvusha mapema mno
Madini ya Congo yanaweza pitia TZ na hio itainua uchumi wenu na pia itainua uchumi wa Congo. Halafu bandari hio itarahisishia Congo kuimport mashine kama vile mashine za kujenga barabara. Hii itasaidia Congo kujenga barabara na kufungua nchi hio ambayo karibu yote ni misitu.
 
kuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before
Unaweza ukashare faida mkuu bachelor ll nasi tuzijue na tujipange
 
Baada ya bandari hizi kukamilika serikali iwape kipaumbele wawekezaji kwenye meli zitakazo fanya kazi ya kubeba mizigo katika bandari hizi.

Wamiliki wa meli kwa nchi za ulaya huwa wanapewa support na serikali zao kwa kupewa ruzuku, mikopo na misamaha ya kodi wanaponunua meli.

Sisi kama Tanzania kwa kutumia Tanzania Investment Bank tunaweza kutoa mikopo yenye riba nafuu ili wawekezaji wa ndani wawekeze kwenye meli za mizigo na abiria.

Pili serikali inaweza ikatoa baadha ya msamaha kwenye kodi kwa watu watakao nunua meli au kwenye kujenga meli namna watakavyopunguziwa kodi za material ya meli.
 
Mjenge bandari wapi na kwa hela zipi na kwa cargo ipi
Unajua ukijumuisha bandari zote za Tz hazifikii nusu ya mapato na cargo ya Mombasa port na hatujajumuisha Lamu Port.
Mlijaribu kushindana nasisi Lamu vs Bagamoyo mkafeli.
 
Kwenye miundo mbinu ya maziwa makuu na bahari Magufuli nampa 120%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…