Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Magu kichwa sana.. bandari zote ziwa Tanganyika kazijenga vizuri.. sana . Pia amepeleka na barabara za lami.
Unaambiwa cement toka mbeya kwenye drc inapita ziwa Tanganyika.
Cement toka mbeya kwenda malawi inapita nyasa..
Magu noma.
Unaambiwa cement toka mbeya kwenye drc inapita ziwa Tanganyika.
Cement toka mbeya kwenda malawi inapita nyasa..
Magu noma.
kuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before