kuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before
White elephant kibao
Nyie mnaweza kujenga bandari lakini Congo hana pesa ya kujenga bandari
Mkuu hapo Tanzania na DRC tuna mutual benefit kutokana na uwepo wa bandari.Unaweza ukashare faida mkuu bachelor ll nasi tuzijue na tujipange
Ukweli ulio wazi bila Magufuli sioni tz ya uchumi mkubwaa huyu Raisi huwa nakaaa namsikiliza yani yuko very strategic na pia mzalendo na anatuvusha so napata wasiwasi akiondoka tutarudi nyuma tena wewe angalia alivyotuvisha kwenye hili janga la corona na ona miradi ya kimkakati yani magufuli i salute you Mr President [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kumalika kwa bandari ya karema naona kabisaa kuna bandari kama durban na beira mizigo ikipungua na kuja dar es salam sasa basi ni sisi kujipanga na kuchukua fursa
Baada ya bandari hizi kukamilika serikali iwape kipaumbele wawekezaji kwenye meli zitakazo fanya kazi ya kubeba mizigo katika bandari hizi.
Wamiliki wa meli kwa nchi za ulaya huwa wanapewa support na serikali zao kwa kupewa ruzuku, mikopo na misamaha ya kodi wanaponunua meli.
Sisi kama Tanzania kwa kutumia Tanzania Investment Bank tunaweza kutoa mikopo yenye riba nafuu ili wawekezaji wa ndani wawekeze kwenye meli za mizigo na abiria.
Pili serikali inaweza ikatoa baadha ya msamaha kwenye kodi kwa watu watakao nunua meli au kwenye kujenga meli namna watakavyopunguziwa kodi za material ya meli.
Kati ya karema au kasanga moja itaunganishwa na reli. SGR
Kwa bandari ya karema kwa kuanza itaunganishwa na meter gauge kutoka mpanda mpka hapo bandari na mwezi ujao ujenzi unaanzaKati ya karema au kasanga moja itaunganishwa na reli. SGR
Ukiangalia kwa data zilizopo bandari iliyokuwa ina save import kutoka nje ni dar na ilikuwa sleeping giant mpka mwaka jana tulikuwa na 14.5million metrics tonnes zilizopita bandari ya dar es salaam sasa toka magufuli ameingia tunaboresha bandari za Tanga na mtwara kwa tarifa yako kwa upande wa bandari ya Tanga dredging imekamilika na hivyo sasa bandari ya Tanga inakuwa na kina cha 15m hapo ni kwenye low tides na mlango pia wa kuingia na kugeuzia meli umekalika so meli za mizigo zinakuwa na option ya kuja dar ama Tanga na procurement ya vifaa inaendelea serekali imetenga almost tsh 500billions kwa ajili hii sasa basi jiandaeniUnajua ukijumuisha bandari zote za Tz hazifikii nusu ya mapato na cargo ya Mombasa port na hatujajumuisha Lamu Port.
Mlijaribu kushindana nasisi Lamu vs Bagamoyo mkafeli.
Meli ni uwekezaji unaotaka pesa kubwa sana(huge investment) serikali inaweza ikafanya ila kama kuna uhitaji wa miradi mingine bado kuna wazawa wana uwezo wa kuwekeza.Kwa Tanzania meli bora zimilikiwe na serikali.
Tanga ndo mtashindana nayo sasa na sio the wakeup giant port of dar es salaamUnajua ukijumuisha bandari zote za Tz hazifikii nusu ya mapato na cargo ya Mombasa port na hatujajumuisha Lamu Port.
Mlijaribu kushindana nasisi Lamu vs Bagamoyo mkafeli.
Investors wengi walioko Tanzania ni very sellfish hawaangalii interest za inchi zao wewe ona juzi tuu wanataka kumhujumu raisi na watanzania kwenye suala la mafuta alafu watanzania jamani tutembee kifua mbele na tujiandae kwa fursaMeli ni uwekezaji unaotaka pesa kubwa sana(huge investment) serikali inaweza ikafanya ila kama kuna uhitaji wa miradi mingine bado kuna wazawa wana uwezo wa kuwekeza.
Biashara ya meli inawigo mpana serikali na matajiri wa kitanzania wanaweza wakawekeza wote
Mimi niko hapa. Anajipanga na taarifa sahihi, elimu na uelewa kama Offshore Seamen . Tatizo mtaji utapatikana kwa mbinde.Vijana wenzangu na watanzania Raisi anafungua inchi na kuiunganisha na mataifa jirani kuna standard gauge inakuja wewe kama kijana unajiandaje na fursa za kukamilika kwake,fursa ni nyingi mno Congo drc ndo hiyo inafunguliwa kule wanahitaji chakula na materials nyingine so wewe na mimi tumejipange
Kodi lazma ilipwe! Mikopo ya masharti nafuu sawa! Ondoa kichwani mwako suala la misamaha ya kodi! Huko ni kuanzisha Acacia gold part II! Sijui kwann watu hamjifunzi!Baada ya bandari hizi kukamilika serikali iwape kipaumbele wawekezaji kwenye meli zitakazo fanya kazi ya kubeba mizigo katika bandari hizi.
Wamiliki wa meli kwa nchi za ulaya huwa wanapewa support na serikali zao kwa kupewa ruzuku, mikopo na misamaha ya kodi wanaponunua meli.
Sisi kama Tanzania kwa kutumia Tanzania Investment Bank tunaweza kutoa mikopo yenye riba nafuu ili wawekezaji wa ndani wawekeze kwenye meli za mizigo na abiria.
Pili serikali inaweza ikatoa baadha ya msamaha kwenye kodi kwa watu watakao nunua meli au kwenye kujenga meli namna watakavyopunguziwa kodi za material ya meli.
For sure kuna watakachopoteza japo congo ni linchi kubwa bado kuna upande utahudumiwa kipitia njia za rwanda. Lkn pia tukumbuke DRC pia wanafikiria project ya SGRkuna jamaa yangu Mnyarwanda anadai JIWE ameamua kuwasomesha namba na wenyewe aliichambua hiyo bandari faida zake kwa Tz na Congo na hasara zake kwa Rwanda mpaka nikashangaa japo nilikuwa hata sihifahamu hiyo bandari before
Kama anawazia kuhusu white elephant tumwambie huyo mdudu kwa tz hayupo labda yupo huko nchini kwao asubirie kufunguke aone mchezo utakavyo chezwaTanzania hatuna white elephant mzee subiri uone Magufuli ni rahisi mwenye maono na akili nyingi sana naona tunakuja kuwa power house of east and central africa