Bandari ya Mombasa Yatoa Ofa Kwa Mizigo ya Congo DRC na Kutishia Uhai wa Bandari ya Dar. TPA na Serikali mmejipangaje?

Lisu anasemaje?

Ameiombea mabaya kwa muda mrefu sana Tanzania ashangilie sasa.
Hajawahi kufanya hivyo, huwa anaongea mambo ya msingi, wewe shabiki unatafsiri vibaya kwa kukaa upande wa wanyonyaji.

Tuna viongozi wazito katika kufikiri na kutekeleza hilo halifichiki, labda mtu akiwa hana exposure na maarifa hataona.
 
Ruto atasumbua Sana!

Kwamba distance ya kutoka Matadi mpaka Lubumbashi ni mbali kuliko kutoka Dar / MBS to Lubumbashi!! Bado tax zinazopotea kulipa nchi nyingine!! Kisa ujengaji tu wa barabra!!

Acha tuendelee kuwafaidi ukimwamsha aliyelala utalala wewe mwenyewe!!
 
Hapa sisi watabuni tu tozo zingine? Si waongeze tozo kwenye miamala ili kukuza uchumi?
 
Na nyie chomeni vifaranga vyao pia kamateni mifugo yao kule mipakani.

Si vita ya kiuchumi ndio AKILI YENU ILIPOISHIA!
 
Ilo pia tunalitazama kwa karibu na tutaunda kikosi kazi tutakuja na majibu maana sisi pia binadamu tuendelee kuvumilia...alisikika mlamba asali mmoja aliyeketi kiti cha nyuma
 
congo ni kubwa sana mkuu. bandari ya Mombasa haiwezi kuihudumia DRC yote na hata ya Dar haiwezi kuihudumia DRC yote. Kumbuka DRC is stretched from North Uganda mpaka zambia na Angola. Mombasa port inahudumia north drc, hilo halina haja ya kuhofia. TZ itaendelea kuhudumia north south hasa central na south DRC....

itakuwa ajabu ikiwa mfanyabiashara wa Bunia, kwa mfano ambaye anafanya hata shopping Kampala eti apitishe mzigo Dar...ni ngumu.

DRC ni keki Tanzania na Kenya tutaendelea kuitafuna. Tatizo wenzetu Kenya wanapotafuta huwa hawanyamazi, wanatafuna huku wanazungumza.
 
Biashara ni ubunifu, tumeshindwa tumia Bandari yetu
 
Sio chokochoko, anapambania nchi yake na watu wake!sisi tumekalia urasimu tu wa makodi kibao, uzembe uzembe tuu, mtu anakaa na mzigo wa mteja siku kibao bila sababu za msingi!upuuziupuuzi tuu!acha KENYA watunyooshe akili zikae sawa!PUMBAVU KABISA
 
Lisu anasemaje?

Ameiombea mabaya kwa muda mrefu sana Tanzania ashangilie sasa.
Sio mabaya, na ww uwe unajenga hoja sio kila saa unamtajataja mwanaume mwenzio!pambana kujenga hojaaa na kusema nn kifanyike!
 
Sio chokochoko, anapambania nchi yake na watu wake!sisi tumekalia urasimu tu wa makodi kibao, uzembe uzembe tuu, mtu anakaa na mzigo wa mteja siku kibao bila sababu za msingi!upuuziupuuzi tuu!acha KENYA watunyooshe akili zikae sawa!PUMBAVU KABISA
Kuna protokali za biashara za EAC so unapopambania Nchi yako una wajibu wa kuhakikisha huathiri wengine katika namna ambayi haileti ushindani sawia..

Ukienda hivi unaweza fikia uhasama kama wa Mwendazake na Mwisho wa siku kuharibu kila kitu.
 
Sie kwetu (Tz) inaendeshwa na watu wasiojielewa.
 
3/4 ni misitu kule kwenye watu ndiko tunashindania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…