Bandari ya Mombasa Yatoa Ofa Kwa Mizigo ya Congo DRC na Kutishia Uhai wa Bandari ya Dar. TPA na Serikali mmejipangaje?

Bandari ya Mombasa Yatoa Ofa Kwa Mizigo ya Congo DRC na Kutishia Uhai wa Bandari ya Dar. TPA na Serikali mmejipangaje?

Lisu anasemaje?

Ameiombea mabaya kwa muda mrefu sana Tanzania ashangilie sasa.
Hajawahi kufanya hivyo, huwa anaongea mambo ya msingi, wewe shabiki unatafsiri vibaya kwa kukaa upande wa wanyonyaji.

Tuna viongozi wazito katika kufikiri na kutekeleza hilo halifichiki, labda mtu akiwa hana exposure na maarifa hataona.
 
Ruto atasumbua Sana!

DRC wana Bandari moja ya Matadi ambayo inahudumia Kinshasa na maeneo jirani, na kutokana na sehemu zingine kuwa na miundimbinu hafifu au kutokuwepo kwa miundimbinu kabisa, na factor zungine ni umbali ni bora utoe mzigo DAR au MSA ni karibu kuliko Matadi hadi Bukavu Goma na Lubumbashi.

Kongo ni kubwa.
Kwamba distance ya kutoka Matadi mpaka Lubumbashi ni mbali kuliko kutoka Dar / MBS to Lubumbashi!! Bado tax zinazopotea kulipa nchi nyingine!! Kisa ujengaji tu wa barabra!!

Acha tuendelee kuwafaidi ukimwamsha aliyelala utalala wewe mwenyewe!!
 
Hapa sisi watabuni tu tozo zingine? Si waongeze tozo kwenye miamala ili kukuza uchumi?
 
Na nyie chomeni vifaranga vyao pia kamateni mifugo yao kule mipakani.

Si vita ya kiuchumi ndio AKILI YENU ILIPOISHIA!
 
Ilo pia tunalitazama kwa karibu na tutaunda kikosi kazi tutakuja na majibu maana sisi pia binadamu tuendelee kuvumilia...alisikika mlamba asali mmoja aliyeketi kiti cha nyuma
 
Nawasalimu kwa jina la JMT,bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi..

Kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari,Bandari ya Mombasa imetoa Ofa Kwa Mizigo ya Congo DRC kupitia kwao, Kifurishi cha Ofa kinahusisha mambo yafuatayo;

1.Kupunguza gharama za kuhifadhi mizigo.

2.Kufuta gharama na vikwazo visivyo vya kikodi barabarani.

3.Kuwapa eneo Ili wajenge Dryport yao Ili wawe wanahifadhia mizigo yao hapo.

4.Ofa zingine za ki institutions.

Naomba ikumbukwe kwamba Bandari ya Dar inategemea zaidi mizigo ya Congo DRC kwa mapato sasa kwa Ofa hizi ni wazi bandari ya Dar inaenda kuwa tembo mweupe.

Ni vyema serikali kupitia TPA nao wakaja na counter offensive za kukabili ushindani wa kibiashara na kuongeza competitiveness yetu kwenye biashara ya logistics.

Tanzania inaongoza kwa kuwa na utitiri wa Kodi na tozo kwenye biashara bila kusahau utitiri wa vikwazo visivyo vya Kodi NTBs kama mamizani kila sehemu,traffic kila sehemu,sijui parking za malori za Halmashauri na blaa blaa zingine kama hizo.

Tukiendelea hivi bandari yetu itakuwa tembo mweupe na ikumbukwe kwamba hakuna kosa Wakenya Wamefanya ila ni mbinu za kukuza biashara.

Source> Uchumi Forum👇

View attachment 2357571View attachment 2357576View attachment 2357577
congo ni kubwa sana mkuu. bandari ya Mombasa haiwezi kuihudumia DRC yote na hata ya Dar haiwezi kuihudumia DRC yote. Kumbuka DRC is stretched from North Uganda mpaka zambia na Angola. Mombasa port inahudumia north drc, hilo halina haja ya kuhofia. TZ itaendelea kuhudumia north south hasa central na south DRC....

itakuwa ajabu ikiwa mfanyabiashara wa Bunia, kwa mfano ambaye anafanya hata shopping Kampala eti apitishe mzigo Dar...ni ngumu.

DRC ni keki Tanzania na Kenya tutaendelea kuitafuna. Tatizo wenzetu Kenya wanapotafuta huwa hawanyamazi, wanatafuna huku wanazungumza.
 
Biashara ni ubunifu, tumeshindwa tumia Bandari yetu
 
Nawasalimu kwa jina la JMT,bila shaka mnaendelea kuchapa Kazi..

Kama inavyosomeka kwenye kichwa cha habari,Bandari ya Mombasa imetoa Ofa kabambe na kedekede Kwa Mizigo ya Congo DRC kupitia kwao, Kifurishi cha Ofa kinahusisha mambo yafuatayo;

1.Kupunguza gharama za kuhifadhi mizigo.

2.Kufuta gharama na vikwazo visivyo vya kikodi barabarani.

3.Kuwapa eneo Ili wajenge Dryport yao Ili wawe wanahifadhia mizigo yao hapo.

4.Ofa zingine za ki institutions.

Naomba ikumbukwe kwamba Bandari ya Dar inategemea zaidi mizigo ya Congo DRC kwa mapato sasa kwa Ofa hizi ni wazi bandari ya Dar inaenda kuwa tembo mweupe.

Ni vyema serikali kupitia TPA nao wakaja na counter offensive za kukabili ushindani wa kibiashara na kuongeza competitiveness yetu kwenye biashara ya logistics.

Tanzania inaongoza kwa kuwa na utitiri wa Kodi na tozo kwenye biashara bila kusahau utitiri wa vikwazo visivyo vya Kodi NTBs kama mamizani kila sehemu,traffic kila sehemu,sijui parking za malori za Halmashauri na blaa blaa zingine kama hizo.

Tukiendelea hivi bandari yetu itakuwa tembo mweupe na ikumbukwe kwamba hakuna kosa Wakenya Wamefanya ila ni mbinu za kukuza biashara.

Source> Uchumi Forum👇

View attachment 2357571View attachment 2357576View attachment 2357577
Sio chokochoko, anapambania nchi yake na watu wake!sisi tumekalia urasimu tu wa makodi kibao, uzembe uzembe tuu, mtu anakaa na mzigo wa mteja siku kibao bila sababu za msingi!upuuziupuuzi tuu!acha KENYA watunyooshe akili zikae sawa!PUMBAVU KABISA
 
Lisu anasemaje?

Ameiombea mabaya kwa muda mrefu sana Tanzania ashangilie sasa.
Sio mabaya, na ww uwe unajenga hoja sio kila saa unamtajataja mwanaume mwenzio!pambana kujenga hojaaa na kusema nn kifanyike!
 
Sio chokochoko, anapambania nchi yake na watu wake!sisi tumekalia urasimu tu wa makodi kibao, uzembe uzembe tuu, mtu anakaa na mzigo wa mteja siku kibao bila sababu za msingi!upuuziupuuzi tuu!acha KENYA watunyooshe akili zikae sawa!PUMBAVU KABISA
Kuna protokali za biashara za EAC so unapopambania Nchi yako una wajibu wa kuhakikisha huathiri wengine katika namna ambayi haileti ushindani sawia..

Ukienda hivi unaweza fikia uhasama kama wa Mwendazake na Mwisho wa siku kuharibu kila kitu.
 
congo ni kubwa sana mkuu. bandari ya mombasa haiwezi kuihudumia drc yote na hata ya dar haiwezi kuihudumia drc yote. Kumbuka drc is stretched from north uganda mpaka zambia na Angola. Mombasa port inahudumia north drc, hilo halima haja ya kuhofia. TZ itaendelea kuhudumia north south hasa central na south DRC.

itakuwa ajbu ikiwa mfanyabiashara wa Bunia, kwa mfano ambaye anafanya hata shopping Kampala eti apitishe mzigo dar...ni ngumu.
3/4 ni misitu kule kwenye watu ndiko tunashindania.
 
Back
Top Bottom